Series (Special thread)

mimi ni mgonjwa sana au addicted na series za kikorea hasa zenye ufalme na hata zingine mfano iris,athena,triangle,secret door,the three musketeers ,gwachogo, qwduaeto and many more.
 
hizi za kila episode story mpya tafuta leverage au burn notes,hehehe kama utalala,mbavu zinachoka unageuza lingine

nikitulia nitazitafuta aisee, tatizo now cna muda sn wa kuwatch movies, wiki nzima najikuta nimeangalia episod moja, ila tazitafuta nikitulia, i hope ni nzuri, zinahusu nn?
 
nikitulia nitazitafuta aisee, tatizo now cna muda sn wa kuwatch movies, wiki nzima najikuta nimeangalia episod moja, ila tazitafuta nikitulia, i hope ni nzuri, zinahusu nn?

leverage wao ni kama group linalojitegemea kusaidia waliotapeliwa,mtu akitapeliwa wao wanamtapeli tapeli husika mpaka anafilisika,halafu burn notes jamaa aliachishwa kazi,akawa anamtafuta mbaya wake
 
leverage wao ni kama group linalojitegemea kusaidia waliotapeliwa,mtu akitapeliwa wao wanamtapeli tapeli husika mpaka anafilisika,halafu burn notes jamaa aliachishwa kazi,akawa anamtafuta mbaya wake

oooh!!! hizi za hv i like nitaitafuta kwakweli, inataka kufanana na a person of interest
 
oooh!!! hizi za hv i like nitaitafuta kwakweli, inataka kufanana na a person of interest

nimeangalia person of interest ni nzuri,sasa zenyewe ni hivo hivo halafu nakuahidi ni zaidi ya hapo za ukweli sana
 
Sawyer nilimkubal sana kwenye season 1 pale ambapo wenzie wanahangaika kutoka nje ya island baada ya ndege kuangua jamaa alikua calm sana alikua karelax ansoma zake novel benjamin linus nae alifanya vizur ila season za mwishon alipoa sana

Unajua the Island ilichagua watu unakumbuka seasonal iliyokuwa inaitwa everything happen for a reason....john Locke aliamua bora abaki kule kule....wengi walikuwa wanastruggle kutoka but wakikumbuka problem walizonazo walikuwa wanaamua bora wabaki..Kate,jack,sayyid,sawyer,Michael,kim,Charlie na Locke mwenyewe wote walikua wanadeni huku dunian...
 
Ingia web inaitwa kickasstorrent. But lazima uwe na utorrent software kwenye PC ndiyo utaweza kupakua.
Hapo utapata kila kitu kuanzia muvi,series, books,games na vitu vingi
Sorry ningekuwekea link but natumia phone
aisee kila nikidownload yaani hazionyeshi poa,picha mbovu,sijui ni computer yangu au nini
 
hivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?

Mie napenda za muendelezo za episode zilinishinda bora niangalie muvi...mfano personal of interest ilinishinda na Criminal mind
 
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.

We ndio Mimi yaani hayo ma sci-fi ndio siyapendi kabisa wadogo zangu ndio wanakujaga kuchukua...mi napenda real life
 
nikitulia nitazitafuta aisee, tatizo now cna muda sn wa kuwatch movies, wiki nzima najikuta nimeangalia episod moja, ila tazitafuta nikitulia, i hope ni nzuri, zinahusu nn?

Ukiona ivo haijakunogea iyo...mi niliacha kwenda baa wiki nzima kwa ajili ya 24 live another day nkawa nikitoka job kazi kuwatch tu.
 
Ukiona ivo haijakunogea iyo...mi niliacha kwenda baa wiki nzima kwa ajili ya 24 live another day nkawa nikitoka job kazi kuwatch tu.

mmmh!!! it depends now nipo likizo so niko busy mno na masuala ya kijamii nachoka sana, nikirudi kazini ndio napata muda wa kuwatch maana nikitoka kazini naendelea na movie, uzee nao unachangia, teh
 
Aisee... we acha tu! Mie mara kibao tu nimekuwa nikijaribu tena na tena nikitaka kuamini labda nilikuwa kwenye bad mood, lakini wapi... at the end, naishia kuu-delete tu manake huwa nahisi hata pc yenyewe huwa inashindwa tu kusema kwamba inaogopa mamijidudu niiloyipa kuitunza! we unatunza dude linalomeza mibuyu....

hahaaaa!! eti hata pc inaogopa, mie hizo hata kusave sizisave wala hata kununua cwezi kujisahau kuzinunua, so hata unipe cthubutu kuichukua wala kuitizama, yaani cna interest nazo hata, ila unashangaa mtu anazisifia hatari
 
Bwana eh! Unakuta mtu anaisifia hadi anakupa hamu... unaamua ngoja uitafute! Sema siku hizi nimeshashituka... mtu movie/series hata aisifie namna gani; lazima ni-google kwanza... nikishakuta ma-zombie/vampires, full ma Sci-Fi, ma-fantasy; kisha nikakuta watu wamevaa yale manguo ya kirumi na majambia yao... ahaaaa... naondoka taratiiiiiibu!!!

sipendi pia movie za kupigana na majambia na mapanga cjui, in short zile za kizamaniiii, yaani cna mzuka nazo hata ndio maana hata game of throne ilinishinda nikaishia kucnzia tu
 
aisee kila nikidownload yaani hazionyeshi poa,picha mbovu,sijui ni computer yangu au nini

hizo ambazo hazioneshi fresh umedownload zenye extension ya dot mp4 (.mp4) acha hizo download zenye (.avi) huenda pc yako inasindwa kudisplay vizuri .mp4 movies but utashangaa ukiweka kwenye pc nyingine zitonesha fresh kutegemeana na vga display ya monitor yako.
 
.........Aisee kuna Series inaitwa Arrow ni noma. Wametoa hadi Season 3 Episode 09 na wanaendele kuandaa Episode 10 yaani naisubiria kwa hamu ili niipakue. Series nyingine tamu inaitwa Teranova ila niliiona Season 1 tu sina uhakika kama wametoa nyingine.
 
aisee kila nikidownload yaani hazionyeshi poa,picha mbovu,sijui ni computer yangu au nini

Ilo tatizo mi sijawai kuliona but inatakiwa uwe unachagua na format ya picha usichukue za CAM maana izo zinakuwaga za jumba la sinema watu wanarekod wakat wanaangalia.....na hii inakuwaga kwa muvi mpya zilizotoka but mi nasubirigi at certain time then clear vision zinakuwepo for PC ila kwenye Big screen kwangu azionyeshi vizuri coz resolution inakuwa ndogo hapo ni kutumia PC tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom