chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,758
- 2,529
najifunza mnoo! ila sasa kuwakariri watu hivyo na uhusika wao ktk movies tofauti ndio cwezagi, hata majina yao halisi siyajuagi wala kuyatilia maanani, zaidi ni majina wanayotumia kwenye movie
Mie starehe yangu kubwa ni kujua crew nzima ikiongozwa na director....
Movie ndio maisha yangu ilifikia kipindi chuo kizima walikuwa wanakuja kuchukua movie kwangu...
Na ili niangalie movie or series lazima nijue actor na director.