Series (Special thread)

mimi mbona chuo nlimaliza mwaka 2009 na sasa hivi ni muajiriwa wa shirika moja kubwa sana la hifadhi ya jamii na pia ni mjasiriamali ambaye nina ndoto lukuki

kuangalia movies na serie ni starehe sawa na starehe nyingine na haijalishi umri wala position uliyokuwa nayo
napenda sana movies na series sababu ndio zilizoniondoa kwenye matumizi ya pombe kupitiliza(addicted) na sasa nakunywa pombe kiasi (one for the lord) na muda mwingi wa ziada nautumia kwenye kuangalia movies na kushughulika katika shughuli za kimaendeleo.

mbona na wewe ni mgeni sana hapa JF,hapo na sisi tuseme nini?
one for the lord hahaha mkuu japo me situmii but nakupa hongera na nahamini ukiwa mtu wa movie vitu vingne visivyo na maana vitakuepuka ...koz nikitoka job nawahi series home
 
Prison break is back, inaonesha Michael Scofield hakufa.
-Official Trailer _ PRISON BREAK '
 
Hapa ndo Scofield anakuja kuplay ushoga kwenye Series sasa.
Hahah...sidhani mkuu

issue ya ushoga michael ina makandokando mengi ni ya kijitengenezea kuliko ukweli hatujui!

session 5 itakua kali sana nahisi wamepata muendelezo mzuri sana kutokea ilipoishia wakaona warudi Fox tena

d9b1907c03865b9108f5cd27211a0ac4.jpg
 
Hahah...sidhani mkuu

issue ya ushoga michael ina makandokando mengi ni ya kijitengenezea kuliko ukweli hatujui!

session 5 itakua kali sana nahisi wamepata muendelezo mzuri sana kutokea ilipoishia wakaona warudi Fox tena

d9b1907c03865b9108f5cd27211a0ac4.jpg

Yaani ile taarifa ilinigusa sana, nakumbuka wakati najoin JF avatar yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ya huyu dogo mpaka pale zile taarifa zilipotoka.

Hapo unanipa matumaini mkuu, ila series nyingi sana za US zina hizi mambo sana.
 
Yaani ile taarifa ilinigusa sana, nakumbuka wakati najoin JF avatar yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ya huyu dogo mpaka pale zile taarifa zilipotoka.

Hapo unanipa matumaini mkuu, ila series nyingi sana za US zina hizi mambo sana.
Michael aliibeba sana Prison Break nlikua nakubali sana acting style zake hata kwenye "Legends of Tommorow" yupo vizuri.

wanaweka sana ushoga aisee tunaangalia movie zao na ushoga wao tunaukataa.
 
In 2007, Miller (Michael Scofield) denied to InStyle magazine that he was gay.[26] However, he came out as gay in August 2013, when he posted a letter onGLAAD's website declining an invitation to attend the Saint Petersburg International Film Festival because he felt "deeply troubled" by the Russian government's treatment of its gay citizens (referring to Russian LGBT propaganda law enacted the previous June which banned "propaganda of nontraditional sexual relations").[27][28] Miller wrote that he "cannot in good conscience participate in a celebratory occasion hosted by a country where people like myself are being systematically denied their basic right to live and love openly".[27]

At the 2013 Human Rights Campaign Dinner inSeattle, Washington, Miller said he had attempted suicide multiple times as a teenager before coming out as gay.
 
Kuna video YouTube anajitangaza kwenye mkutano fln kuwa ye ni shoga tena wa muda mrefu, so suala la kusema tetesi acheni, kama hamfatilii anzeni kufuatilia, unless mseme alisema hvo kwa shinikizo la Mastar wa mbele kuunga mkono agenda ya ushoga, otherwise ni shoga mzoefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom