Serengeti fiesta 2014 special thread

sasa niliwai kumsikia mwenyewe na masikio yangu redion akimwambia qchief kua kashapotea hawezi kushinfana na yeye kimziki kihela na kwa kila kitu kwa sasa yeye kashafulia
achilia mbali masela wake wa kko waliohastle nae kabla hajatoka maana mpaka leo wanamchukia jamaa kawapotezea wana wanabembeleza kolabo anawapotezea ndio maana wamejoin team kiba

binaadam huwezi kusaidia Kila mtu aliyekusadia,kuhusu q chief yeye ndiye WA kwanza kumchokoza diamond,chief alimtuhumu dia anamloga
 
Dharau mbaya,huku kwetu Tabata kuna jamaa mchoma nyama anaitwa Mfojo,alianza dharau baada ya kushika pesa zetu za kutosha hivi sasa sio Mfojo tena bali ni Mchovu yeye na wafanyakazi wake utafikiri hawajawahi kushika thumni!watu wamewasuasa.

Duh jamaa alikua maarafu enzi nakaa TBT ilikua kwa mfojo ukitaka vitu vizuri unavipata kwa mfojo kumbe sa hivi wanasua sua....
 
haya mumemzomea diamond...tusubiri tumuone huyo alikiba kama ataweza kupenya kimataifa na kuwa nominated katika tuzo kama BET&MTV....watanzania huwa mnaroho ya uchoyo.,hampend mafanikio ya mtu...
 
Yale yale ya Mwana FA na Lady jay dee.Bongo raha sana,ushabiku huu naufananisha ule wa siasa mkoa wa Mara,Vijana wakiamka tu kua tunataka Sisiemu utapenda siku wakiamkia Chadema mbona utashangaa mwenyewe.Mi Napenda muziki wowote wa msanii yeyote yule ulio vizuri,habari ya maisha ya mtu its out of my bussiness.Nawengi tunashabikia muziki kama mpira na vyama vya siasa vile.
Nakumbuka enzi za Mr Nice baada ya kushuka kimuziki hao hao mashabiki wa muziki wake ndo wakawa wakaanga sumu.
Hayati Kanumba nae wakamponda et hajui lugha ya malkia duh.
Hii ndo Tanzania ktk burudan..kuna watu hawalali wala hawali kisa anamfuatilia msanii fulani.
 
Im not platnumz' fan.
Lakini what happens now, isnt a new thing from watz.
We are like that.
Ukifanikiwa, watakuchukia tu.
Watajidai kuna sababu, lakini hakuna.
Hii ni sababu ya kwa nn wasanii wetu wanang'aa mmoja mmoja at a time.
We so blinded by jealousy that we cant see that we are killing everything we had!
 
binaadam huwezi kusaidia Kila mtu aliyekusadia,kuhusu q chief yeye ndiye WA kwanza kumchokoza diamond,chief alimtuhumu dia anamloga

mara zote hua anajibu kwa kashfa na dharau tofauti na kiba anaongea kwa busara hekima na kufikiri reffer show yake na sporah au salama he talk on polite way with humanity,tofauti na daimond kumbuka hata beef na prezo yeye ndio chanzo kutokana na dharau za wazi kwa mgenge yule
 
haya mumemzomea diamond...tusubiri tumuone huyo alikiba kama ataweza kupenya kimataifa na kuwa nominated katika tuzo kama BET&MTV....watanzania huwa mnaroho ya uchoyo.,hampend mafanikio ya mtu...

Tumsubirie apige shoo atoze 50000 halafu tuone kama mtaenda..Maisha bila unafki hayendi
 
Dharau mbaya sana kwa yeyote na hasa aliyekutangulia,iwe ki umri au jambo fulani.Mtakumbuka Ommy dimpoz ile kauli kwa Ngwear ilivyotaka kumshusha....wawe makini sana na kauli zao pind wanapotoa katika vyombo vya habari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom