Serengeti fiesta 2014 special thread

Matola

humjui kiba vizuri jinsi alivyokaa kiswahili kimavazi hata roho yake ipo hivyo hivyo,tulipwa tukapige boooooo pale maisha hayo ya kushindiliwa yamekujaje
 
Last edited by a moderator:
humjui kiba vizuri jinsi alivyokaa kiswahili kimavazi hata roho yake ipo hivyo hivyo,tulipwa tukapige boooooo pale maisha hayo ya kushindiliwa yamekujaje

Kushindiliwa kuna kuja tokana upo cheap....unanunulika hata kwa elfu 30 sawa na chupa 6 za beer sasa kuna nini tena???

Nchi hii kupiga hatua itakuwa ndoto....
 
Kushindiliwa kuna kuja tokana upo cheap....unanunulika hata kwa elfu 30 sawa na chupa 6 za beer sasa kuna nini tena???

Nchi hii kupiga hatua itakuwa ndoto....

it was like takrima na kushow support kwa kiba ukizingatia hao washkaji walikua na beef na daimond mpaka kesho wameapa beef litaisha diamond atakapotea kimziki so kiba aliomba tu msaada akatupoza kama washkaji kwa pesa hio .tusingeweza kuomba million coz watu walitaka kumpa support kiba,jamaa now wameenda mbali zaidi wanamsaka popote atakapokatiza platnum wamdunde tu hii ni moja ya sababu ya daimond kua sio mtu wa club kwa sana na kuamua kua na baunsa hata katika mizunguko ya kawaida
 
Yaani kiba amsaidie Dimond hahah....wakati hata hili shangwe analolipata ni kwaajili ana bifu na Diamond huyo alikiba wenu angekuwa na Bifu na Barnaba au Bob juniour angesahau hata kupata shoo
Hivi mtihani wenu wa form four mnaanza na somo gani vile?
 
Wala miguu na utumbo wa kuku wa Dar hawamkubali Diamond kwa sababu kawazidi kipata.. Sisi mabilionea wa Arusha tunamkubali sana Diamond

Tajiri uwe wewe?Mara upo songea mara arusha hata haujielewi ila najua hiyo yote bado unawaza ulivyozomewa jana
 
Tajiri uwe wewe?Mara upo songea mara arusha hata haujielewi ila najua hiyo yote bado unawaza ulivyozomewa jana

Wewe na mafukara wenzako wa manzese acheni wivu.. Mkikusanywa wote hamuwezi.kufikia hata robo ya mafanikio ya Diamond
 
humjui kiba vizuri jinsi alivyokaa kiswahili kimavazi hata roho yake ipo hivyo hivyo,tulipwa tukapige boooooo pale maisha hayo ya kushindiliwa yamekujaje

Mhhhh ko hata this time.inawezekana aliwapa ela watu wakapige Boo.......

Ubinadam.kazi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom