Serekali vs mashehe znz vs mfumo kristu.

Status
Not open for further replies.

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Nimekuwa nikifuatilia sakata la ZNZ juu ya muungano, kwa macho ya nyama inaonekana mashehe wamechukua kazi ya wanaharakati au pengine wanasiasa ya kudai uhuru wa ZNZ kama wanavyosema.


Kwangu binafsi naona hatari sana hasa kuchanganya dini na siasa. Waislamu wa bara wamebaki bila kauli pengine ni kutokana na uelewa mkubwa au mdogo juu ya dini yao. Je uislamu unaruhusu haya yote? Ingekuwa vema kama waislamu wa bara wangetoa kauli yao juu ya hili bila kuogopa aliyefanya ni muislamu/shehe au yoyote ili ukweli uweze kujulikana.


Kikundi cha uamsho (kinaongozwa na mashehe) kinasema hakiusiki na uvunjifu wa amani uliotokea na wala uchomaji wa makanisa. Yes pengine ni kweli hakikutoa kauli hiyo, lakini je wameweza kufanya analysis ya mafundisho waliyokuwa wakiyatoa pamoja na madhara yake kwenye jamii (whether is positive or negative).


Tafadhali kikundi cha uamsho, waliowaweka kwenye muungano ni viongozi wenu wa serikali na sio kanisa. Kama walirubuniwa bado haipaswi kuliadhibu kanisa, kama ni adhabu basi waadhibuni waliowafikisha hapo. Ila lililo bora zaidi NI KUTAFUTA NJIA YA AMANI BILA KUCHOMA MAKANISA


Najua mnaelekezwa kuua ili kutetea uislamu ila lililo la hekima ni kutoua ili huyo unayetaka kumuua apate nafasi ya kubadilika na kuwa muislamu na mwisho afike kwa Mungu kama ni kweli.



Asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom