Sera mpya ya elimu

Kateka Sanza

Member
Jun 8, 2013
44
8
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji wake kweli unaweza leta tija kwa watanzania?

Maana bado cielewi BIG RESULT NOW katka elimu kama imefanikiwa au la. Tirilika hapa mwanazuoni.
 
Haitawezekana, labda ikitokea muujiza watoto wa wakubwa zetu wafukuzwe na kupigwa stop shule za nnje ya Tanzania
 
Attachments

  • 1420383771653.jpg
    1420383771653.jpg
    30.1 KB · Views: 726
hiyo sera mpya niliwahi kuisikia miaka kadhaa iliyopita sijui ni lini itaanza kutumika!
 
Haitawezekana, labda ikitokea muujiza watoto wa wakubwa zetu wafukuzwe na kupigwa stop shule za nnje ya Tanzania

Hapa huwezi kuzalisha wasomi zaidizaidi ni kuzalisha panya road na baadae bhoko haram
 
elimu haiwezi kuwa bora mpaka viongozi watakapolazimshwa kusomesha watoto wao katika shule wanazozisimamia
 
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji wake kweli unaweza leta tija kwa watanzania? Maana bado cielewi BIG RESULT NOW katka elimu kama imefanikiwa au la. Tirilika hapa mwanazuoni.

sera yenyewe ipo nje tayari? wewe umeitafuta na kuisoma na kuona kama inatekelezeka? nilitarajia wewe uanze kutiririka ili kuonesha sera ya elimu ambayo ilikufanya upate elimu ilikuwa ni safi sana!!
 
sera yenyewe ipo nje tayari? wewe umeitafuta na kuisoma na kuona kama inatekelezeka? nilitarajia wewe uanze kutiririka ili kuonesha sera ya elimu ambayo ilikufanya upate elimu ilikuwa ni safi sana!!
Sera ya elimu kwa ajili ya nani make wote wanaoandaa Sera hiyo haitawahusu wao moja kwa moja make watoto wao wanasoma inje au kwenye shule ambazo hazitafuata Sera hiyo. Itawahusu kwa namna gani watapata posho na kutafuta mianya ya kupiga pesa zitakazotengwa kwa ajili ya hiyo sera
 
Kyela hiyo kaka kkwa Mwakyembe, hapo kipindi cha masika likizo, akidondoka nyoka mtini mapumziko

Du kweli hiyo ya kudondoka nyoka balaa. But hiyo sera cjaisoma maana kwa maelezo yake ni kwamba iko hatua za mwisho kukamilika. Ila jambo moja la msingi ni kama ulivosema kwamba changamoto kubwa ni kuhusu utekelezaji maana nyingi zinawekwa kabatini tu.
 
Iv hi kitu ipo tz? mweeee afu wanakula pesa bila waswas

Wewe huijui Tz yetu vizuri..
Kuna shule ambazo ukiziona hutaamini....alafu mkuu wa kaya ndio alihaidi kutumia mfumo wa kompyuta kufundishia!,,,,sasa kwa darasa kama hili sijui compyuta itakaa wap hapo?
 
Itabid nianze tour ya kuzungukia tz yangu, kwel inaskitisha sana
 
Haitawezekana, labda ikitokea muujiza watoto wa wakubwa zetu wafukuzwe na kupigwa stop shule za nnje ya Tanzania

Hiyo si solution, wapigwe stop afu iweje sasa? watoto 10~20 hawa-account for matatizo yanayowapata wanafunzi zaidi ya milioni nchini Tanzania, huko ni kuwasingizia kabisa.. System ya bongo ndio tatizo, mkubwa kusomesha mtoto nje hana kosa for as long as anatumia hela zake.. We uwe na pesa za kutosha utampeleka mtoto wako shule za ovyo ati kisa ziko nchini?
 
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji wake kweli unaweza leta tija kwa watanzania? Maana bado cielewi BIG RESULT NOW katka elimu kama imefanikiwa au la. Tirilika hapa mwanazuoni.

Hiyo sera ndo inasemaje ili tuichambue vizuri
 
Muuza chips alipata mteja mzungu, alifanikiwa bei ya sahani sasa kimbembe kilikuja jinsi ya matakwa ya mteja. Kijana akajitolea, "boss chips egg far far or confuse?"

Kama tunataka watoto wetu wawetayari kuface world challenges basi wajue international languages. Waingereza wanawafundisha watoto other languages e.g Spanish, Mandarin, French.
 
Back
Top Bottom