Sasa hapo kwenye kudhulumiwa sensa inahusika vipi? Huoni kuwa itakuwa imekusaidi kufanya maamuzi sahihi? Kukataa kuhesebiwa hasara yake inakurudia wewe mwenyewe.
niambie hasara ya mimi kutohesabiwa na nipe faida ambayo ntaipata nikihesabiwa maana hata mwaka 2002 sikuhesabiwa pia,,,,,,kama leo unahamasisha SENSA, jitahidi basi uhamasishe KUPIGA KURA,,,,maana watanzania hatupendi kupiga kura,kufanyiwa chanjo,hata usajili wa line za simu nao ulikua na utata,,,,,,KABLA SIJAMALIZA NIPE FAIDA NA HASARA ZINAZONIGUSA DIRECTLY