MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Mnyika alikuwa sahihi kukataa kufuta kauli bungeni.
Raido iman na gazeti al-nuur ni vyombo vya habar vya habar vya kuzimu.
Watu mpo 32% ya nchi alafu mtusumbue?
Msicheze na kanisa mtaumia,
MOU imetokana na mungu
Kama rais ana mamlaka ya kuahirisha sensa!mbona uchaguzi mara nyingi huairishwa?hana lolote ZOEZI LA SENSA LIMEKWAMA
wakati anahutubia alikua anakosea kosea kutamka maneno mara kwa mara utadhani alikua anataka kukimbia,Kiukweli nimemuhurumia sanaNa bado atalia sana! Anavuna alichopanda!
Ni rahisi sana kumpuuza Kikwete kwa kila anachosema au kufanya, lakini ninaweza kukuhakikishia sio mjinga hivyo kama wengi wetu tunavyodhania, na kama kweli ameongea hivyo usidhani ni mjinga, Kikwete ni mwanasiasa na anajua anachokifanya na mwisho wa siku utaona nani ni dhaifu yeye au sisi tunaopinga sensa kwa maana mwishowe wote tutahesabiwa na kubaki kuapia tu kwamba Sensa ijayo haki hapa patachimbika hatahesabiwa mtu,kama vile tunavyosema we ngoja 2015 ndio watatujua, ikifika 2015 oktoba tutaandamana kidogo tutasahau tutamkubali raisi mpya wa CCM na kuanza tena we ngoja 2020 ni kiama cha CCM hawatoki tumeshachoka! Lakini mwisho wa siku Kikwete gets what he wants, sasa sijui dhaifu ni nani?
Keep watching tv na hasa tbc watarudia rudia mwezi mzimamsaada.nitaipata wapi hotuba ya mh. raisi?
jiandae kuhesabiwamuislamu mmoja makafiri kumi ,sijui unalielewa hilo ? kanisa hatuwezi kucheza nalo maana bibilia imefundisha kuwa mungu haonekani na hakuna aliemuona , sasa ikiwa kanisa linaibishia bible,maana yesu kaonekana na kakamatwa na katundikwa juu ya mti bado wakanisa wanamwita mungu ,huoni hapo kama watu wa kanisa si wakushindana nao ?? Funguka !
Nimemsikiliza na nimemwelewa vizuri,yaani JK hana msimamo kabisa, anajikanyaga kwenye mambo ya msingi kama haya, mara ilikuwa wakati wa ukoloni wanahesbu raia kwa dini na makabila yao mara serikali imejipanga kwa muda mrefu na sasa ndugu tafsiri yake ni nini kama si kwamba kwa sasa haiwezekani suala hilo kuingizwa kutokana na muda? hana msimamo huyu DHAIFU, kamsikilize tena tbccm lazima watarudia hotuba yake, nahisi wataifanyia editing kwai yale madudu siyo kabisa!Msiopata nafasi fuatilieni hotuba yake vzr vyombo vitarusha hewani. Mh. Jk kasema mambo yanayozuia ni 2 mosi sera na pili utekelezaji. Mtoa mada ama hajamuelewa au ameamua kuelezea swala moja tu la utekelezaji.
Wewe sidhani kama ni kristo wa kweli. Umetumwa wewe.Raido iman na gazeti al-nuur ni vyombo vya habar vya habar vya kuzimu.
Watu mpo 32% ya nchi alafu mtusumbue?
Msicheze na kanisa mtaumia,
MOU imetokana na mungu
Muislamu mmoja makafiri kumi ,sijui unalielewa hilo ? Kanisa hatuwezi kucheza nalo maana bibilia imefundisha kuwa Mungu haonekani na hakuna aliemuona , sasa ikiwa kanisa linaibishia bible,maana Yesu kaonekana na kakamatwa na katundikwa juu ya mti bado wakanisa wanamwita Mungu,huoni hapo kama watu wa kanisa si wakushindana nao ?? Funguka !
Naam CHOYA, hapo umepatia kabisa serkali ya JK haiwezi kuwagusa masheikh hawa, MOHAMED ISSA, BASALEH,PONDA na kundi lao, pamoja na radio IMAAN wote hao wana ubia kwenye urais wake, walisaidia sana kuwapotosha baadhi ya waislamu kumchagua kiongozi DHAIFU katika kile walichokiita KURA YA MASLAHI wakitegemea kupendelewa ktk mambo yao wanayoyahitaji. Uswahiba wake na magaidi hao umelifikisha taifa hapa lilipo. MUNGU IBARIKI TANZANIA. TUEPUSHE NA JANGA HILI TUNALOUNDIWA NA DHAIFU.AMIN'Huyo ****** kayataka aliwahidi cjui mahakama ya kadhi! Wakampigia kura kwa mbwebwe hatimaye sasa wanamgekuia maana mahakama ya kadhi ilikua ni mtaji wa kura!
HizI ndoto za mchana bana, we endelea kujifariji but ukweli ni kwamba uelewa wa JK ni tofauti na unavyodhania. Jamaa ni kilazaNi rahisi sana kumpuuza Kikwete kwa kila anachosema au kufanya, lakini ninaweza kukuhakikishia sio mjinga hivyo kama wengi wetu tunavyodhania, na kama kweli ameongea hivyo usidhani ni mjinga, Kikwete ni mwanasiasa na anajua anachokifanya na mwisho wa siku utaona nani ni dhaifu yeye au sisi tunaopinga sensa kwa maana mwishowe wote tutahesabiwa na kubaki kuapia tu kwamba Sensa ijayo haki hapa patachimbika hatahesabiwa mtu,kama vile tunavyosema we ngoja 2015 ndio watatujua, ikifika 2015 oktoba tutaandamana kidogo tutasahau tutamkubali raisi mpya wa CCM na kuanza tena we ngoja 2020 ni kiama cha CCM hawatoki tumeshachoka! Lakini mwisho wa siku Kikwete gets what he wants, sasa sijui dhaifu ni nani?
Ni rahisi sana
kumpuuza Kikwete kwa kila anachosema au kufanya, lakini ninaweza
kukuhakikishia sio mjinga hivyo kama wengi wetu tunavyodhania, na kama
kweli ameongea hivyo usidhani ni mjinga, Kikwete ni mwanasiasa na anajua
anachokifanya na mwisho wa siku utaona nani ni dhaifu yeye au sisi
tunaopinga sensa kwa maana mwishowe wote tutahesabiwa na kubaki kuapia
tu kwamba Sensa ijayo haki hapa patachimbika hatahesabiwa
mtu,kama vile tunavyosema we ngoja 2015 ndio watatujua,
ikifika 2015 oktoba tutaandamana kidogo tutasahau tutamkubali raisi mpya
wa CCM na kuanza tena we ngoja 2020 ni kiama cha CCM hawatoki
tumeshachoka! Lakini mwisho wa siku Kikwete gets what he wants, sasa
sijui dhaifu ni nani?
Ina maana anasema sensa ijayo wataweka hicho kipengele!!! Kweli huyu jamaa ni Dhaifu, hajui jinsi ya kupanga maneno yake
Si kosa lako, ubongo wa 20kb unaweza kufanya kitu gani zaidi ya kushiriki misiba tuHuu udhaifu wa kikwete ni wa kujitakia kwa kutotaka kutumia ubongo wake.
JK analigharimu taifa, anagharimu amani yetu, anagharimu umoja wetu kwa ujumla CCM imeshafanya makosa mengi sana lakini hili la kutupatia JK ni kosa kubwa sana maana mtu huyu ataliangamiza taifa, MUNGU atusaidie kutuondolea hili jiwe.Huyu bwana ndiye kinara wa mambo haya ya udini .Angekuwa kongozi makini angewakemea ndugu zake siku ile ile wamelianzisha hili swala .Leo ni kuwa anawatuliza ndugu zake kuwa alitaka kuwasaidia kuingiza kipengele cha udini ila viongozi wenzake wamempinga. Jk kwa maoni yangu si mtu makini na mara zote anafanya mzaha na maswala yanayohitaji umakini .