Semina za usimamizi wa mtihani wa darasa la saba zimeanza leo.

kikokwe

Member
Apr 7, 2012
66
25
sijaona taarifa yoyote kwenye media zetu kuzungumzia semina za usimamizi wa mtihani wa drs 7 kuanza leo ambayo wasimamizi wake ni baadhi ya walimu wa sekondari, walimu wa msingi ambao hawakushiriki kwenye mgomo wa walimu nchi nzima na ambao ndio hao hao waliotumika kwenye zoezi la sensa. Kundijingine ambao wanaweza kuwemo kwenye usimamizi wa mitihani hiyo kutokana na upungufu wa kundi la walimu wanaowahitaji ni askari polisi pamoja na makamanda wa pccb. Jamani kwa kisasi hiki kinachofanywa na jk pamoja na watendaji wakuu wa serikali yake vina mustakali wa kweli na wahaki katika kutoa elimu iliyobora kwa wananchi wa tanzania yetu?
 
sijaona taarifa yoyote
kwenye media zetu kuzungumzia semina za usimamizi wa mtihani wa drs 7
kuanza leo ambayo wasimamizi wake ni baadhi ya walimu wa sekondari,
walimu wa msingi ambao hawakushiriki kwenye mgomo wa walimu nchi nzima
na ambao ndio hao hao waliotumika kwenye zoezi la sensa. Kundijingine
ambao wanaweza kuwemo kwenye usimamizi wa mitihani hiyo kutokana na
upungufu wa kundi la walimu wanaowahitaji ni askari polisi pamoja na
makamanda wa pccb. Jamani kwa kisasi hiki kinachofanywa na jk pamoja na
watendaji wakuu wa serikali yake vina mustakali wa kweli na wahaki
katika kutoa elimu iliyobora kwa wananchi wa tanzania yetu?

Ahsante! Kwa taarifa.
 
kwa taarifa niliyopata kutoka wilaya ya pangani kuna askari polisi wawili wameteuliwa kuwa wasimamizi wa mtihani wa darasa 7, nazidi kufuatilia majina yao na wengine kama wapo.
 
Another version of Udhaifu wa govt asa police na ethics za ualimu wapi na wapi jamani jk elimu ya tz unaipeleka wapi? Hii ni hatari kama walimu tunakomolewa kwa jinsi hii huko madarasani mnategemea tunafanyaje? Wat goes around comes around.
 
Kåazi kweli police na kucmamia mitihani tena? na nyie walimu Primary ndio endelezeni chuki zenu dhidi ya ccm kwa dhati maana nyie ndio mnaibaga kura za Opposition cku zote
 
jamani eeeh, nmepata taarfa ifuatayo, polis waliochukuliwa kusimamia ni hao wawil na mmoja wao anaitwa jumanne, yupo pia afisa mifugo wilaya bwana achi, afisa utumishi fatuma nondo, afsa utamaduni, na kamanda mmoja wa pccb. Hivi maadili ya kazi zao zinaenanda na taaluma ya ualimu? Hivi watakapovurunda kwenye usimamizi hatua stahiki watachukuliwa? Mnapokuwa na viongozi na watawala ambao upeo wao wa kufikiri, kuhoji, kuamua na kujiuliza maswali na hatimaye kutoa majbu kama ni mdogo basi madudu kama hayo lazma yafanyike. Hii inaonyesha kuanzia rais hadi viongozi ngaz za chini kama wilaya upeo wao wakutoa maamuzi ni mdogo kuliko wa mtoto wa chekechea. Inatisha!
 
Kåazi kweli police na kucmamia mitihani tena? na nyie walimu Primary ndio endelezeni chuki zenu dhidi ya ccm kwa dhati maana nyie ndio mnaibaga kura za Opposition cku zote

Mbona hiyo ni kawaida mkuu. Ni lazima mtu wa usalama awepo kwenye mtihani wa kuhitimu Drs la VII, Form IV, Form VI na Vyuo vya ualimu.Umeishasahau mara hii?
 
Tatizo liko wapi hapo? Kwanza kazi yenyewe ni confidential kiasi kwamba haitakiwi kutangazwa kwenye media na pili watu hao wamewekwa sio kwa sababu Walimu hawapo wapo hapo kutokana na taaluma zao. Pia tukubali kwamba wapo Maafisa kama HRO, Utamaduni n.k ambao wamesomea taaluma ya Ualimu, tusilalamike tu bila utafiti wa kutosha
 
Back
Top Bottom