Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy mothers day my mom πŸ˜˜πŸŒΉπŸ’œπŸ’–.

Mungu aendelee kukutunguza kipenzi asante kwa ukarimu wako na upendo wako

Uendelee kuwatunza wadogo zangu vizuri πŸ˜€β˜ΊοΈπŸ€—πŸ€—πŸ€—

I love you mummy πŸ˜™πŸ˜™πŸ˜™
View attachment 2988569
Nakupenda sana sana sana sana
❀️❀️❀️❀️πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜
 
IMG_20240512_162259_944.jpg
 
BBC wanasema EA yote kuanzia Rwanda, Tz, Ke, UG hakuna internet, ina maana hawa wote itakuwa wanatumia access point moja, i think so...
Kenya si nilisoma humu wameanza kutumia internet ya StarLink ya Bwana Elon Musk?

Kama EA yote imekumbwa na hili tatizo basi tujitafakali, we need to think out of the box regarding huduma za Internet
 
Ndio mkuu, lakini kile ki dish cha star link wanavyo baadhi.
Ni kweli inahitajika back up.
Me nafikiri Serikali ingeridhia huyo StarLink aanze kazi Tanzania, kutakapokuwa na scramble for the market huenda gharama za vifurushi/Data zikapungua pamoja na kuongezeka Kwa Kasi ya Internet

Wiki iliyopita nilinunua Vocha ya 5,000 Kwa gharama ya shilingi 5,500 hii inaonesha bei ya Vocha pia zikapanda Mwaka mpya wa fedha 2024/25 πŸ™Œ
 
Mkuu hilo ni jambo lisilowezekana.
Starlink itaua biashara nyingi za hawa wezi.
Issue hapa ni kulindana, wakubwa wengi wana hisa kubwa kwenye hizi Internet service provider companies.
Kwa kasi ya starlink na bei yake ilivyo chini itapelekea sells kwa hizi local companies kupoteza uelekeo.

Starkink inaweza connect devices 120 na speed ikawa stable.

Issue hapa si kuwatatulia wananchi matatizo issue hapa ni kulinda biashara za watu binafsi na vigogo.
 
Hayo mambo yanatugharimu kama Taifa, na Hawa Viongozi mbaya zaidi kwenye Mali na Madeni yao kupitia Viapo vyao kwenye time ya maadili ya Viongozi wa Umma huwa hawazitaji hizo Mali zao.

Ukishakuwa na Viongozi Wafanyabiashara hakuna unafuu unapatikana Kwa Wananchi, maana wao muda wote wanawaza kutuibia tu πŸ™Œ
 
Sahihi sana mkuu.
 
Sahihi sana mkuu.
Kabisa Mkuu, na bahati mbaya system inawalea ndiyo maana wameendelea kuwapachika watoto zao kwenye uongozi kuanzia Chamani hadi Serikalini...

Ukiwa sio sehemu ya circle yao, hata uwe na masters na PhD za kutosha still hutapewa nafasi ya kuleta mabadiriko Chanya πŸ™Œ
 
Back
Top Bottom