Selection ya Kidato cha Tano mbona imechelewa?

Mbona kawaida tu si mwezi wa 5 bado aujaisha wiki ijayo wanaweza wasiipitishe wakatoa mana c unajua hata mtiani wenyewe wa form 4 wengine wamemaliza mwezi huu wa 5 nafikili kama kusagisha itakua hata bado japo wanaweza wao wakawekwa lamda kwenye second selection
 
Uko nchi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom