selasini ni mbunge wa chama gani?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
huyu bwana anachangia upuuzi ambao hata ccm hawezi kusema.amesifu shule za kata,amelaumu maandamano vyuo vikuu eti ni ya kisiasa na waachane na siasa.sasa huyu haendani na kasi za cdm.amenichefua sana
 
Kwa kweli huyu jamaa kanikera sana, sikudhani kama chadema tuna mbunge wa aina hii.
 
huyu bwana anachangia upuuzi ambao hata ccm hawezi kusema.amesifu shule za kata,amelaumu maandamano vyuo vikuu eti ni ya kisiasa na waachane na siasa.sasa huyu haendani na kasi za cdm.amenichefua sana

kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo
 
Nasikia hata Chadema wameshaanza kumshtukia yeye pamoja na Shibuda. Tutawajua tu muda si mrefu. Selasini si alikuwepo kati ya walioua NCCR?
 
Jamani huyu jamaa mi namfamu vizuri ni mtu ambaye yuko makini sema tu labda ni ugeni. Kama mnavyo jua kuku mgeni hakosi kamba mguuni
 
Kweli ndg selasini kasema kweli. Zina faida kubwa, zimesaidia wengi kufika sekondari. Kama mapungufu yapo ni sawa na mapungufu yaliyopo ktk shule zetu za msingi, kwani bado zipo zisizo na walimu, cha msingi nl kuziboresha. Hongera chadema kwa kuuona umuhimu wa shule kata...
 
He is right. Naomba tusimuhukumu mapema. Baadhi ya maeneo yenye maono yambali shule za kata zimeleta mapinduzi makubwa katika eneo husika ingawa kwa ujumla wake zimeshindwa kutimiza malengo ya kuanzishwa kwake.

Kuhusu maandamano vyuo vikuu inawezekana anakubaliana na hotuba ya rais kuwa ni madai ya kisiasa hivyo akawashauri waachana na siasa kitu kilicho kinyume na ilani ya uchaguzi ya chadema iliyodai kurejesha siasa vyuoni. Sielewi vizuri kudai posho toka 5,000 - 10,000 ndo siasa au vipi? Lakini katika yote kwa ujumla wake naomba tumpe muda!! Tusimuhukumu mapema.
 
Huyo jamaa alikuwa ni mmoja katika wale key people waliofanikisha kuua nccr enzi zileee za lyatonga. Hivyo chadema inabidi kuwa macho sana na huyu jamaa, kwani nina wasiwasi naye kuwa ametumwa kuua chama. TUJIHADHARI SANA CHADEMA.
 
Back
Top Bottom