Ah hawa hawawezi kutuachia, wanafaidika sana na sisi, lakini wanajifanya hawaoni, wananichekesha hawa, kisha wanajifanya wana confidence! Haya mnatupa ardhi uko bara, sisi tumewapa bahari mtumie mtakavyo, meli zinakuja dar bila ya wasiwasi! Sasa tukijitenga, bahari itakua mtihani kwenu, mana tunaweza kujenga articial islands karibu na katanganyika which will pose a threat! Afu mnapesa zetu nyingi sana nyinyi, kisha hamuna shukrani ata kidogo, bandari ya dar es salaam tumewajengea sisi, yani hamujiweziiiii, mnatuita mdebwedo lakini katika vita mnawaweka wazanzibari mbele, wakishinda mnajisifia nyinyi, ovyooo! Mnaboa kichizi
usiwe mjinga wewe bahari sasa inahusiana vipi na kutengana kwani kabla znz na tanganika azijaungana ina maana meli zilikuwa haziwezi kuja tanganika sababu ya znzbr??mpaka utarudi uleule wa kabla hatujaungana.kuhusu kujenga artificial islands hiyo ni rukhsa na itaendanana int'l law ukivuka kuingia eneo la watanganika tunawachapa au tunawashtaki int'l crt,hamwezi kujenga AI karibu na tznia bara sababu mpaka wenu unajulikana sijui uko chumbe pale sijui chumvini na hamwezi kujaza mchanga utakaoingia kwenye eneo letu sababu kufanya hivo ni kuvunja sheria za kimataifa na mtawekewa vikwazo vya kiuchumi sababu mtaonekana wachokozi.nyie ni kama wetu tu kabisa hamtuwezi.