G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Huwa inatokea na kuacha na kurudia tena unakuta kwamfano mkononi au mguuni kunakuwa na sehemu inadunda ka mapigo ya moyo na mara nyingine kwa force iliyozidi kwa muda flani inaweza kuwa mara moja au kwa kurudiarudia hivi kitaalamu hili swala lipo vipi msaada plz!