Mapigo ya moyo na kichwa kuuma Sana

faraja mgaya

Member
Aug 11, 2022
9
4
Jamani habari za jioni, Mimi ninasumbuliwa na tatizo la mapigo ya moyo kwenda mbio, ambapo tatizo hili lilinianza ghafra na lipo kwa muda wa miaka miwili mpaka Sasa.

Mapigo ya moyo haya mwanzoni, yalikua yanapelekea kuchanganyikiwa kichwani na nilikuwa siwezi kulala Wala kutulia Bali kutembea tembea, na nilikuwa nalala pale tu nikinywa dawa za usingizi, lakini Hali hii inapungua taratibu mpaka Sasa nimeenda kutibiwa hospitalini na wamesema moyo hauna tatizo lolote.

Ila wanasema Nina bakteria wa vidonda vya tumbo H pylori na baadae wakasema Nina Thyroid profile 150.
Then, doctor kanipa dawa za kupunguza na kutuliza mapigo ambazo ni propranolol pamoja na dawa za tumbo aina ya LCT KIT

na nimepima pressure ipo 117/79, lakini Hali hii ilinikuta nakua mtu wa kuogopa na wasisi nyingi pamoja na hofu kubwa, Hali hii imepelekea Mimi kujitenga na watu nakutokaa nao kwa muda mrefu.

Hivo,samahani doctor pamoja na wenzangu naomba ushauri wenu wa kitaalamu pamoja namna yakuweza kukabiliana na haya matatizo.

Ahsanten.

Mawasiliano;0753816036
 
Mkuu pole sana kwa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Mkuu pole sana, hili tatizo linisumbua sana Mimi, unajikuta unakuwa mtu wa hofu sana na mapigo ya moyo kwenda mbio sana.

Nilianzia matibabu yangu liwale district hospital, nikapigwa X-Ray ili kujua ninasumbuliwa na kitu gani kwenye moyo wangu, hawakupata majibu,nikaenda ndanda hospital nako nikapimwa kipimo Cha x-ray na echo lakini hawakupata chochote kwa moyo wangu, nikashauriwa kwenda Muhimbili,nako madaktari hawakupata chochote , wakabaki wanashangaa tu, mwisho nikaambiwa niende JK heart institute hapo hapo Muhimbili, nao hawakuona chochote, nikahisi huenda nikerogwa, inabidi nije bugando, nikaona na daktari wa gastro intestinal cases, ndugu majimbe,

Alinipa ushauri ambao Hadi leo sijawahi kwenda hospital kwa tatizo hilo tena, moja wapo ya ushauri wake Ni kuwacha kula ndizi, viporo, maharage, vitu vyenye sukari nyingi, kula kwa wakati, kuepuka vinywaji vya viwandani, kulala masaa matatu baada ya kula, kuacha kutunza chuki ndani ya moyo, hakika ukifuata haya unapata nafuu.

Mwisho wa siku mlonge Ni jibu Tisha kwako, jaribu kutumia Kijiji kimoja kutwa Mara tatu kwa mwezi mmoja huku ukizingatia ushauri huo hapo juu,

Mwisho ,pole sana mkuu
 
Asante kwa ushauli
 
Back
Top Bottom