Sehemu ya kwanza ya Madudu Yaliyonikimbiza CHADEMA, Kesi ya UBAKAJI/RAPE inayomkabili LEMA UK

Status
Not open for further replies.
napata shida kidogo kuamini hii kitu kama inawezekana ikawa ni issue ya ubakaji maana mi kwa miaka yangu kumi hapa London nawajua sana police wa hapa jinsi wasivyo na dogo tena kwa kosa kubwa kama hilo la kutaka kubaka.
kama kweli issue ingekuwa kubwa kama hiyo basi lukosi angefuatwa na police na wangeenda kumuhoji kwa kuwa yeye alikuwa mwenyeji wake...nimeshashuhudia mshkaji wangu akipata matatizo makubwa sana mpk kumpelekea kufungwa kwa sababu tu msichana wake aliwapigia simu police kuwa jamaa kambaka wakati jamaa hakumbaka na walifanya mapenzi kwa ridhaa.
na kwa kuwafahamisha tu ni kuwa police wa hapa huwa hawafungi kesi au kuiachia tu hewani kijinga...kesi kama hiyo hata kama wewe uliyetaka kubakwa ukaamua kuiacha basi wenyewe huwa wanaendelea nayo mpk mwisho na kuitolea maamuzi...lukosi unajua sheria za hapa uk zilivyo,unataka kuwaaminisha watu kuwa ulipata usumbufu wa simu na email peke yake?....nakushauri uache uongo wa kitoto kwa kuwafanya watu wajinga hapa jamvini
Unaonaje ukimshauri kamanda wako aje UK kukanusha?

Halafu yeye si ndio mlezi wa tawi la Chadema UK. hivyo inabidi aje kuwatembelea makamanda au sio?

Hawa ndio mnawaita viongozi tena kuna mtu alisema huyu ndio waziri wa mambo ya ndani wa chadema.
 
Kwa mfano bro Lema angekua na kiu kama ya bruda aliyekaa kigango miaka nane, hakyanani nakuhakikishia hata angepewa bure asingepiga? Khaa is bora hata wale wanaouza utamu sehemu mbali mbali daslam! Kiukweli she is ugly
 
Bwana LUKOSI mimi sipingi kama Lema hajafanya hayo,ila hao police wa UK ni kweli walishindwa kumpata Lema?Hiyo KIBOKO!
 
Tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu mpaka kieleweke...ha haa ha.

Cc. chama, Chris Lukosi,
AAhhhh Mkuu Ritz wameanza na Mungu wanamaliza na shetani; hii ni kali lakini hainishangazi sana mzee anayewaongoza hawa vijana Chadema yeye mwenyewe ana utata mwingi tu kwenye maisha yake hajielewi; hawa vijana ni kama kondoo wasio na mchungaji; Mbowe kamtia mimba mbunge mwenzake; Lwakatare kinara wa kung`oa kucha watu sasa hata hili la Lema badala ya kwenda London kutafuta chopa yeye kaenda kurugia migongo ya akina tena kwa kubaka; hii ni aibu kubwa sana; kwa sisi tunaoishi kwenye hizi nchi zilizoenddelea tunafahamu misingi ya sheria si rahisi kwa mwanamke kupiga simu na kosa la kusema uwongo adhabu ya si chini miaka 5 siwezi kuamini huyu dada anayazusha; mh. Lema anachopaswa ni kupanda ndege kwenda London ku clear jina lake na vilevile kumfungulia mashtaka huyu dada ya kumzushia. Chadema ni chama chenye wanasheria na aongozane na Marando; Lissu au Prof. Safari. Hili kama ni kweli kasingiziwa na aende London

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
ninachojua ni kuwa mh lema alipata visa kupitia kwa balozi wa uk hapo tz

na alipopata visa ndiyo alitumia kuingia nayo uk.

Unapofika nchi husika hapo uhamiaji kwanza wanatazama passport yako picha na visa na sehemu unakoshukia

ukishafika sehemu unakofikia kama ni hotelini nao wanaangalia passport, jina, picha na visa. Moja kwa moja utambulisho wako unakuwa tayari kwenye mtandao wa polisi uhamiaji na sehemu nyingine za kiusalama.

Na hili huwa linafanyika kwa ajili ya kuzuia uhalifu.

Kwa sababu hizo ninapingana kabisa na maelezo ya mleta hoja.

Hii hoja ni ya kumchafua mh mbunge, lakini kwa hili lililotumika kumchafua mbona ni dogo sana kwa mh?
 
Mbona mnavihelehele sana au ninyi ndio mlio bakwa? (1) Hoja nyepesi sana hata std vii atakuona haufai na usomi wako ni sifuri (2) binti mwenyewe midomo mikubwa nazani kwasababu ya kubugia koni (3) ushaulh kwa wana JF tumpuuze LUKOSI na gengelake
 
Mbona mnavihelehele sana au ninyi ndio mlio bakwa? (1) Hoja nyepesi sana hata std vii atakuona haufai na usomi wako ni sifuri (2) binti mwenyewe midomo mikubwa nazani kwasababu ya kubugia koni (3) ushauli kwa wana JF tumpuuze LUKOSI na gengelake
 
Baada ya hoja ya ugaidi na ushahidi hadi mbinguni kugonga mwamba sasa mmegeuza kibao hahahaaaaaaaaaaa Lukosi I thought you are brave enough not to play cheap politics kumbe hata kuishi nje ya nchi haikusaidii to be able to deal with serious issues! Polisi wa UK ni kama wa Bongo Twiga wanapita airport bila wao kujua, watu wanalipua makanisa na wanapeta mitaani, du! Oooohooo Lema aliruka kwa ungo toka UK hadi Bongo!
Mkanda huu pia umekosewa, nimepata bahati ya kuona picha ya huyo binti yaani huyo abakweeee heheeeeeeeeeeeee naona mnatania huyo amekaa mkao wa kutoa vitu tu mkuu bila shuruti.
 
Jamani kwani Lema kajificha wapi mpaka polisi washindwe kumkamata, au intelijensia ya Tanzania haina ushirikiano na ya UK? Vitu vya kutunga tuwe makini ,unaweza kudhani unamchafua mtu kumbe unamuongezea umaarufu kama alivyofanya Mkuu wa Mkoa Arusha
 
Hii ni ushahidi tosha kuwa Mh.Lema anawanyima ccm usingizi.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
uzushi mwingine bana.....mtu akiwa anakufa lazima apwite apwite na kutapatapa. . . .MACCM ur days are numbered!!
 
Mkuu Ritz
Habari nzito kama hii wasomaji wa Tanzania Daima wangependa kuisoma siku nyingine usisahau kumcc kamanda Mohamedi Mtoi ili tusiwanyime haki ya ufahamu .

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Mikael P Aweda -mjumbe wa baraza kuu; Mwita Maranya -mgombea mtarajiwa uenyekiti kanda ya Dar
 
Last edited by a moderator:
Unaonaje ukimshauri kamanda wako aje UK kukanusha?

Halafu yeye si ndio mlezi wa tawi la Chadema UK. hivyo inabidi aje kuwatembelea makamanda au sio?

Hawa ndio mnawaita viongozi tena kuna mtu alisema huyu ndio waziri wa mambo ya ndani wa chadema.

Mkuu Chris Lukosi

Hii kashfa sio ndogo iwe ni kweli au uwongo Lema inabidi apande ndege kuja London kusafisha jina lake na ikithibitika kama ni uwongo amfungulie mashtaka mhusika; kashfa hii inalishushia hadhi bunge letu kwa kuepuka haya na kulinda hadhi na heshima yake nina uhakika Lema atafuata ushauri wetu wa kuja London.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Tibu kwanza haya magonjwa yako!!
1. OCD (Obsessive Compulsive Disorder)
2. DG (Delusions of Grandeur)
3. CLD (Compulsive Lying Disorder)
4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)
5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)
6. MPD (Multiple Personality Disorder)
7. LD (Literacy Disorders)

Mkuu Precise pangolin
Tunatakakujua nani mgonjwa kati ya Lema na Chris Lukosi; kwa kuuthibitishia umma Chris Lukosi ameweka mawasiliano kati yake na polisi kitu ambacho wote tumekiona sasa Lema naye inabidi atuthibitishie na aende London kusafisha jina lake na bunge letu tukufu; ugonjwa wa ubakaji ni hatari kuliko hayo magonjwa uliyoyaorodhesha hapo juu. Huu ni wakati muafaka kwa Lema kutuonyesha hekima zake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Chris Lukosi anataka kuhadaa watu kwamba Police wa UK ni bogus kama yeye alivyokuwa bogus akilitumikia jeshi la policcm.

Lema asingeweza kupanda ndege na kuondoka UK wakati tayari ana kesi ya kujibu, tena mashitaka ya ubakaji? kwa waingereza ambao wako sensitive sana na masuala ya unyanyasaji wa kijinsia.

Kama polisi hao wangekuwa wanamtafuta na wakaona hawapati ushirikiano toka kwa Lukosi lazima wangetoa taarifa kwa vyombo vingine vya dola ikiwemo uhamiaji ili atakapoonekana anataka kuvuka mpaka wa nchi yao aweze kukamatwa na kufikishwa polisi kwa ajili ya kujibu tuhuma.

Hii email aliyoiweka hapa itakuwa ilikuwa inazungumzia mambo mengine lakini Lukosi ameamua kuibadilisha ili kukidhi mahitaji yake ya kujaribu kumchafua Lema. Kitu kimoja ambacho ni muhimu maccm mkakizingatia ni kwamba Lema hawezi kuchafuka kwa hivi vi allegations vya kuokoteza. Kila hila mnayoipanga dhidi yake inashindwa na mtaendelea kushindwa vibaya kwakuwa Mungu mwenyewe ndiye ameamua kumlinda na kumsimamia Lema kwakuona maccm mnapanga kila aina ya hila ya kutaka kumuangamiza lakini Mungu anamshindia kila mara.
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu mdada namfaham ndo mambo gani tena haya?
Halafu hii story ya lukosi imekaa kimbea flani kama ya kutengeneza,wanaume hawako hivi bwana labda wa uk wamejifunza majungu zaidi ya tz.
 
Sasa wewe unakimbia kwani unogopa kubakwa na wewe ,badilika acha ujinga. Hata kama amebaka hiyo ni personnal crime sio chama kimebaka kwani zuma alivyobaka ulisikia kelele kama hizo unazopiga wewe.
 
FLORA+LYIMO+AT+SAMEERA+HOME+12'5'2013+031.JPG
MISS%2BFB%2BLYIMO%2B%252C%252C%2540%2BTHE%2BOPEN%2BTHE%2BGATE.07-04-11%2B025.JPG


Flora Bahati Lyimo Kwenye picha hapo juu ndie anaedaiwa kufanyiwa shambulio la ubakaji, ingawaje ukifatilia madai aliyopeleka police ( Flora sasa) yeye anadai Lema alitishia kumuua na sio kumbaka, kwenye blog yake anasema Lema kambaka na kutishia kuumua ( Contradicting!) ukiuliza proof hakuna, anadai anatafutwa na police inamaana police wa uk walishindwa kumtrace na kumkamata? if the case is genuine hata kama yuko huku tz mbona interpol wapo? Sioni sababu ya kumchafua mheshimiwa mbunge kwa allegetion zisizo na proof, by the way tazama huyo bidada mwenyewe hapo juu, mi sioni sura ya kubakwa hapo.
 
Chris Lukosi anataka kuhadaa watu kwamba Police wa UK ni bogus kama yeye alivyokuwa bogus akilitumikia jeshi la policcm.

Lema asingeweza kupanda ndege na kuondoka UK wakati tayari ana kesi ya kujibu, tena mashitaka ya ubakaji? kwa waingereza ambao wako sensitive sana na masuala ya unyanyasaji wa kijinsia.

Kama polisi hao wangekuwa wanamtafuta na wakaona hawapati ushirikiano toka kwa Lukosi lazima wangetoa taarifa kwa vyombo vingine vya dola ikiwemo uhamiaji ili atakapoonekana anataka kuvuka mpaka wa nchi yao aweze kukamatwa na kufikishwa polisi kwa ajili ya kujibu tuhuma.

Hii email aliyoiweka hapa itakuwa ilikuwa inazungumzia mambo mengine lakini Lukosi ameamua kuibadilisha ili kukidhi mahitaji yake ya kujaribu kumchafua Lema. Kitu kimoja ambacho ni muhimu maccm mkakizingatia ni kwamba Lema hawezi kuchafuka kwa hivi vi allegations vya kuokoteza. Kila hila mnayoipanga dhidi yake inashindwa na mtaendelea kushindwa vibaya kwakuwa Mungu mwenyewe ndiye ameamua kumlinda na kumsimamia Lema kwakuona maccm mnapanga kila aina ya hila ya kutaka kumuangamiza lakini Mungu anamshindia kila mara.
Mkuu, kama mimi ni mmuongo naomba mheshimiwa Lema aje UK kuhakikishia umma kuwa ninamzushia uongo na kumchafulia jina. Niko tayari kwenda mahakamani kwa kosa hilo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom