Secrets of Swiss Banking - Kitabu

Kumpenda Kikwete ni hiari ya anayependa lakini kutuambia ana mwanya wakati tunaona hana hili hapana
 
Wamebakia kusema maneno mengi bila kuonyesha evidence

Mkuu wanaomchukia JK si kwasababu ya utendaji mbovu per see wako makundi yafuatayo

a. Wanaosukumwa na hisia kwa kuumizwa e.g. waathirika wa ufisadi hapa utakuta kundi chungu nzima lowassa, mramba, etc

Na hawa unawaweka kundi gani?

images
images
images

 
kama Kikwete kafanya vizuri mtafute umpe kikombe cha chai hotelini umwambie BRAVO!
 
As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!
You will be dead before the truth comes out, why don't you go and get it if you do have access
 
Mkuu invisible many thanks for bringing up this topic. Niko Swiss and hawa jamaa uchumi wao unategemea pesa za mafia from all over the world. Hawana chochote zaidi ya benki ambazo ni maficho za madictators and mafia groups. Wamarekani ndo wamewakamata since Obama took over the office. Kwa sasa ukitaka kufungua account kwenye bank zao hapo kuna kipengele kinachosema if you hold an american passport, if you do then sheria inakuwa tofauti. Kama huna then ni mdundo kwa kwenda mbele, i just did this assignment jana not that ninataka kuficha but that i wanted to know how the system works. Hii inamaanisha Swiss ni sehemu rahisi kwa wenye pesa chafu kama wanasiasa na wafanyabiashara wa nchi maskini kukimbizia walichovuna kuharamu haramu
Thanks Invisible!!!!!!!
 
Invisible, ''As a tip: Kuna 'mafia' kadhaa toka Tanzania wamelimbiliza fedha nyingi huku. Ni zaidi ya EPA. Kuna siku itafumuka tu, Mungu anipe uhai!'

Hapa ndipo ninapokukubali! Na ni mengi yataonekana tu! Mungu atupe uzima!
 
Back
Top Bottom