Secretary natafuta ajira nipo Arusha

love more than100

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
2,061
713
Boss yeyote tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.

Nina uzoefu wa kazi karibu miaka 10 na nimefanya ktk stationary&NGO. Mshahara usiwe chini ya 400,000~350,00 hapo ukiwa ushatolewa makato ya serikali&NSSF. Muda wa kazi ni kama zilivyo sheria za ajira 8asb~10jioni. Overtime ikiwezekana izingatiwe.

Jumamosi ni nusu siku ama Jumamosi & Jumapili sio siku za kazi. Sikukuu zozote za kidini&Serikali zizingatiwe. Napatikana Arusha vijijini, Arumeru Magharibi.
PM KWA MAELEZO ZAIDI.
 
kazini kwetu kuna tangazo linalokuhusu,lakini bosi hamtawezana maana na yeye ana masharti hatari,sasa kama muajiriwa una masharti ivo ofisini si patawaka moto?
 
Muomba kazi ana lugha kama kwamba yeye ndio boss!!
Sikuombei mabaya ila lugha yako na masharti yanaweza kukuponza labda uwe na njia mbadala ya kuipata hiyo kazi
 
Watanzania kwa kujawa na upuuzi hamjambo huyu anaetafuta hii kazi ni dhahiri anaitambua thamani yake na ufanyaji kazi wake uko vipi sio wenzangu na mie "oohh mshahara wowote ule boss"..
 
Back
Top Bottom