Second batch lini jamani kwa mwenye taarifa

Wakuu hali inazidi kuwa tete kwa mwenye taarifa kuhusu second batch tujuzane
palikuwa na wagombea wawili, mmoja wa elimu bure mpaka chuo kikuu na mwingine elimu bure mpaka sekondari! mkamchagua yule wa mpaka sekondari na kumuacha yule wa elimu bure mpaka chuo kikuu, sasa mkopo hakuna mnalalama nini? sasa kama mpaka level ya kusoma degree bado hamlijui hili si bora muache kusoma mkalime?

Pesa tunaenda kununulia ndege nyingine so tulieni

HAPA KAZI TU
 
Haipo ila second batch wametoa cjui sasa na Ata katika mtandao wa kcmuco ac.tz wamesema second batch is out ukiload majina yanakuja
 
Back
Top Bottom