SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

ushahd

Senior Member
Jul 30, 2019
180
101
Salaam wana jamvi
kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili
samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?
maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
 
masters vipi? kuna yeyote aliyepata??
 
Back
Top Bottom