mujoma2011
Member
- Jun 2, 2011
- 6
- 0
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha ARDHI university zamani UCLAS.
Nataka kuomba scholarship ya kwenda kusoma nje kwa coz tofauti na ya sasa ninayosoma.
Kwa sasa nasoma BsC in Environmental Engineering.
Napenda kusomea medicine.
Sasa nataka kujua kama naweza ku aply kwa procedure zile zile wanazotumia form six kwenda kuanza mwaka wa kwanza.
Kwa mfano hizi scholarship za algeria.
Msaada please kwa anayejua