Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,032
- 759
For sure wazo lako la kutengeneza scarf ni zuri isipokuwa naona bei yako nni kubwa sana kwa wananchi wa kawaida,je huwezi ukaishusha ikawa ni bei inayoweza kuwa favour watu wa maisha ya kawaida?
mkulima kupata hiyo 10,000 ni kuuza nusu ya gunia la mahindi. tutaipenda CDM moyoni kuliko mwilini. inakuwa kama unafiki fulani vile
picha ya mwisho jamaa ana figga nzuri.
mapato yanakwenda wapi, kwako au cdm?
10grand inaunclude usafirishaji kwa walioko mbali na wear?
mkuu, bei ni juu kidogo....haiwezekani kuweza kufanya kitu cha quality to price?
Najua kufuma ni ghali, je hawezi kuangalia jinsi ya kufanya scurf ambazo sio za kufuma kwa watu wa dar (joto) na bei iwe chini kidogo?
Bigirita wazo lako amelikubali ameshusha bei iwe 8,000 kwa scarf kwa walio Dar na 10,000 kwa walio mikoani, amesema atapata faida ndogo ila kama wateja wengi itamlipa angalaumkuu, bei ni juu kidogo....haiwezekani kuweza kufanya kitu cha quality to price? Najua kufuma ni ghali, je hawezi kuangalia jinsi ya kufanya scurf ambazo sio za kufuma kwa watu wa dar (joto) na bei iwe chini kidogo?