Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 918
Nimekupenda ghafla Miss Judith! wanawake wote wangekuwa kama wewe divorce zingebaki kwenye katiba tu, wasingempata mtu. enhee na wewe binafsi ungemuombaje msamaha jamaa?
mpendwa,
nilieleza kwenye post yangu pale juu. angalia hapo chini kwenye bold. mi ndivyo ninavyoomba msamaha kila ninapomkosea mtu
By Miss Judith
my sista,
namshukuru sana Mungu kwa jinsi alivyonitengeneza, kwangu kinyongo hakina nafasi kabisa
msamaha wangu uko automatic, sio kitu cha kuombwa. kama mtu yoyote ameniudhi kwa neno au kwa tendo, inatosha tu akisema "Bwana Yesu asifiwe" nitaitikia "amina" na sekunde hiyohiyo tutakuwa tumerudi kama zamani! na hata asiponiambia hilo, mi nitajisemea kimoyomoyo "asante Yesu" na kuutibu moyo wangu kikamilifu papo hapo na kurudia hali yangu ya kawaida ya furaha na shukrani.
kama mimi ndiye nimemkosea mtu humwambia kuwa "usivunjike moyo mpendwa, Mungu anakupenda, nisamehe" akiniambia kanisamehe nitikia "amina, jina la Bwana libarikiwe" tunarudia furaha zetu kama zamani
tulihimidi jina la Bwana
ubarikiwe sana mpendwa
ubarikiwe sana
Glory to God!