Saying I am Sorry......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,563
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................

Kuna hii...................

My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that

Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!

Au............

Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!

Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.

Nakuomba nisamehe Mpenzi… Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa … hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako… nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida… Kikubwa jua nakupenda saana…. Na najihisi si lolote bila penzi lako…. Take care lov...

this pain am going through
please forgive me
i need u like i do
don't deny me its pain am going through
please believe me the words am saying is true
please forgive i can't stop loving u! Waoo i like this song by Brayn Adams.

baby, that was very thoughtless of me. i am sorry,let me make up for u. i know u hate me now,bt u ar my friend before you ar my lover. at least lets be friends...i miss u when we ar like this (yaani akilengwa na kachozi hapo,weeh hata kama kachinja anasamehewa)

ama kweli pombe si chai. na ww usimsimange usiku banaa,unamuamsha asubuhi na machozi ya kumuibia..
Hapo hajanywa kachoka kubeba mizigo mizito huko kariakoo shimoni, na unakuwa umemsubiria kwa hamu na huwezi lala lazima ushushe donge lako rohoni, yaani mnaongea vizuri, then anakuppa samahani then unaendelea kuongea mwenzako anaanza kukoroma

Kuna wimbo nasikiliza hapa unaitwa Pole wa Swahili Nation msamaha unaoombwa sio mdogo.

• Thanks
Reactions: 3D.
Nakuomba nisamehe Mpenzi… Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa … hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako… nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida… Kikubwa jua nakupenda saana…. Na najihisi si lolote bila penzi lako…. Take care lov...

AD hayo maneno ni matamu na mazito sana na yatamfanya mwanaume a-melt down................

Samahani!!

Haya naomba samahani.

I‘m really sorry...i didn‘t mean to hurt you.

Sorry!

Heyyy I said i‘m sorry owkeyy.Kama hutaki utajijua!!

Sasa unanilazimisha...samahani basi!!!

Lizzy ukiniomba msamaha namna hii nakuongezea adhabu.

• Thanks
Reactions: 3D.

Similar Discussions

Back
Top Bottom