Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

Unaweza kumuinulia "ki-bass" Mkoloni wewe? Unafungia radio yake inayoendeshwa kwa Kodi za Wajeremani,then kesho upeleke bakuri kuomba msaada? thubutu yako

Anacheza huyo Chonya wa Chilonwa local hero anadhani pesa yao ya wizi inawapa real power kumbe ushamba tu hao
 
м?◎?◎ Ѧм?ʊηℊї℮ ♭Ѧ♭Ѧ мẘѦηẕ◎...

м?◎?◎ Ѧм?ʊηℊї℮ ♭Ѧ♭Ѧ ηʝ℮℮..!!!!???? ʊηѦ ◎?Ѧ м?ℌѦηѦ ẘẘ. .ẘѦ?ʊηℊї℮ ẘѦ◎η℮ м◎?◎ ẘѦк℮.
 
Wajinga kama nyinyi hamtakiwi kuwepo kabisa ??

ukweli umekua shida na kosa kubwa sana machoni na masikioni mwenu...mnataka kusikia uongo tu??..Hivi kwa fikra zako tu Seif yeye ni mjinga atangaze matokeo kwenye chombo kikubwa kama hicho bila ushaidi?

Weka AM station sikiliza tbs wakufurahishee
 
Pole sana, akili yako ni sawa na saa ya kimweku mweku yafaa irekebishwe.

Hv unafaham wajib wa chombo cha habari, au wewe si timamu, kazi kubwa ni kuripoti, walichofanya DW ni kuhudhuria press coference na kuripoti alivosema Hamad, si msimamo wa DW, mbona huulizi walipo toa habari ya januari makamba kwamba wameshnda majimbo 176 wakat si tangazo la tume, au hajajiongeza kwamba januari anamaanisha magufuli kashnda?

Kama ni sheria hujui yeye hamadi hajaingia mtaani au kuwambia watu waingie, ila kasema kwa mujib wa matokeo halali yaliyobandikwa na tume toka vituo vyote, ameshnda kosa lake lipi kutoa alichoona.

We vp.
 
Kuripoti lazima chombo kizingatie sheria huwezi ripoti tu kama domokaya!! Hivi Maalim Seifu angezsema kwenye hiyo press conference kuwa Raisi wa UJerumani kafariki wangerusha maruhuni hao? Si wangehakiki kwenye mamlaka husika kwanza kuthibisha.

Chombo ka kile cha kimataifa chaweza kwenda vichochoroni Kibandamaiti kumhoji mtu yeyote wanayekutana naye barabarani awape matokeo awe SEIF shari Hamad au kibaka au kichaa yeyote wakati tume ipo?

TCRA funginei hicho kiredio na viredio na vi-TV vingine vyote vikiwemo vile vya kenya ambavyo vilichangia sana machafuko kule kenya wakati wa uchaguzi vilivyotangaza hiyo habari.FUNGIA VYOTE

Hivi mnajua kwamba mawakala huwa wanapewa nakala ya matokeo? Yale siyo mapambo. Ni ushahidi unaotumiwa kuhakiki kushinda au kushindwa!

Be rational.
 
Wajinga kama nyinyi hamtakiwi kuwepo kabisa ??..ukweli umekua shida na kosa kubwa sana machoni na masikioni mwenu...mnataka kusikia uongo tu??..Hivi kwa fikra zako tu Seif yeye ni mjinga atangaze matokeo kwenye chombo kikubwa kama hicho bila ushaidi?? Weka AM station sikiliza tbs wakufurahishee

we ni jinga la kwanza kabisa kabla ya uyo ulomjibu.!
kusema ukweli sio kitu ndugu angu. issue kubwa ni, je una mamlaka ya kusema??
uwezi kusemasema tu kitu chochote eti kwakua ni kweli.!
mamlaka ndo kila kitu, watu wengi wameukumiwa kwa kuropoka mambo wasiyo na mamlaka ya kuyasema.!
Jifunze elimu ya uraia ndugu angu, otherwise utapata shda na utalalamika unaonewa na CCM., kumbe elimu yako ndogo ndo shda.
 
Ha ha ha....mamlaka inaujua ukweli haitaki kutangazq..vielelezo vyote vipo so whats next ...kukaa kimya??..not fair ..elim ya uraia kwenye mfumo kandamizi ina faida gan??.
 
Na leo huku bara tunatangaza matokeo ya Lowassa, yanaonyesha kampiga MAGU kwa kura za mbali.
 
Ha ha ha....mamlaka inaujua ukweli haitaki kutangazq..vielelezo vyote vipo so whats next ...kukaa kimya??..not fair ..elim ya uraia kwenye mfumo kandamizi ina faida gan??.
I like! Ukandamizaji wa miaka 50 umevuruga akili watanzania wengi.
 
Ha ha ha....mamlaka inaujua ukweli haitaki kutangazq..vielelezo vyote vipo so whats next ...kukaa kimya??..not fair ..elim ya uraia kwenye mfumo kandamizi ina faida gan??.

Haraka ya nini wakati ata deadline walioitamka tume mwanzoni kabsa mwa zoezi la uchaguzi haijafika.!?
subiri deadline ipite ndo gumzo lianze.
Au kama vp unaona sio fair, we na au UKAWA nendeni muitishe Press mjitangazie matokeo yenu sasa, tuone.!
Ndo maana nawambia watu kama nyie ndo hamjaelimika, ila ndo vile "Nyani haoni kundule" hamuwezi kukubali ukweli.
 
Back
Top Bottom