Sauti Mwanza inakuaje msaada plzz..

moyo wangu

Member
Nov 18, 2011
59
13
.Hope wazma wa afya..Nimechaguliwa chuo cha sauti mwanza na TCU lakin kila nkifungua website yao sioni majina ya tulochaguliwa huko na tcu,nashindwa kuelewa na chuo wameandika kufungua tareh 14 mwezi wa 9..sijui inakuaje hapo..je napaswa kwenda mwanza kwa usajili wa chuo au inakuaje msaada plz na admision letter zao ni unazpata vipi?,.Mana naogopa nisije kwenda mpaka mwanza halaf ukaambiwa tcu hawajapeleka majina...msaada kwa unaojua zaidi
 
Waweza ni PM kama vipi
 
Asanteni nimeshajiona kwenye list,kama ulikua ujaona jina lako tzamen wameyaongeza majna leo
 
Wakuu mnaweza tusaidia wenye sim ambazo hazina uwezo wakuona tuangalie kupitia apa please naombeni msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom