SATA Uses PERSONAL MONEY To PAY His Hotel BILLS

KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
26
PRESIDENT Michael Sata on Saturday personally paid lodging and food bills to Sun International Hotel’s Royal Livingstone for over an hour’s use of the resort.
After a closed-door meeting with Zimbabwean President Robert Mugabe who arrived by road from Victoria Falls Town, President Sata joked about President Mugabe’s security detail, saying he was better off sending an envoy.
A hotel worker who sought anonymity said the President’s gesture to personally pay the bill was a sign that he was allergic to corruption.
“What we used to see is that when president Rupiah Banda, Levy Mwanawasa or other senior government officers came for official duties, we were taking the bill to either the PS permanent secretary or the DC district commissioner and we saw a lot of inflations in the original bills being taken out to them and not come back. Sata is really doing the ‘Don’t kubeba’ style,” the hotel worker said.
And President Sata when presented with two bills – one in a brown envelope and another in a hotel folder – queried the hotel staff over the authenticity of the bill.
“What is this?” President Sata asked a Royal Livingstone guest relations officer with the name tag Lydia Namukanda.
“Can you please give me a bill? The problem is that when you young men take off your hair, you also take off your brains. Who is the manager here?” complained President Sata
 
Vipi yule mkee wa Riziwan aliyepata full mkopo wa HSLB kuanza kusoma Dodoma mwaka huu???
kweli tunaishi kimjinimjini
 
Ha ha..may be he is another mwanawasa,a man of the people and all this..but it could also be that he is too old to think of where he's gon spend any money he steals,..somebody give me a break,when you are 80+ there is so little you can do with money..gud gesture anyways,younger african leaders should emulate that.
 
Thats the kind of leader we need in Tanzania and Africa as well..
 
Raisi wako ye uchu wake umepitiliza kafikia kuhamisha mpaka wanyama pori kupeleka arabuni! akisafiri ana mtu 70 nyuma yake,wanaitwa wafanyabiashara at the same time unakuta kaongozana nao kwenda kuomba pesa nchi za watu.
Jiulize watu 70 wote wanalipiwa hoteli,chakula,usafiri wa ndege kwa kodi za watanzania, then wanaongozana na Raisi wao kwenda kuomba msaada wa ml100. wakimaliza safri yao unakuta wametumia ml250
 
The hunter umetumia kichwa kuchambua.
Zambia kidogo tunaona matumaini.
Kuna former waziri wa kazi, Liato, alizika hela kwenye masanduku katika shamba. K2.1 billion, ni karibu Tsh. 700million. Serikali imembamba
 
SATA is a highly God fearing presdent he meant what he does na sio show za mwanzo wa mwaka,kwetu Bongo ndo stail mkwara kwanza then kuiba kwa fujo
 
Raisi wako ye uchu wake umepitiliza kafikia kuhamisha mpaka wanyama pori kupeleka arabuni! akisafiri ana mtu 70 nyuma yake,wanaitwa wafanyabiashara at the same time unakuta kaongozana nao kwenda kuomba pesa nchi za watu.
Jiulize watu 70 wote wanalipiwa hoteli,chakula,usafiri wa ndege kwa kodi za watanzania, then wanaongozana na Raisi wao kwenda kuomba msaada wa ml100. wakimaliza safri yao unakuta wametumia ml250

Tatizo watawala wetu wako kwa ajili yao binafsi na familia zao.
 
Ha ha..may be he is another mwanawasa,a man of the people and all this..but it could also be that he is too old to think of where he's gon spend any money he steals,..somebody give me a break,when you are 80+ there is so little you can do with money..gud gesture anyways,younger african leaders should emulate that.
You have " left me in the woods" it is as if you want to say those who embelse and accumulate ill gotten wealth know how to spend (they have something for the money). I can bet with my last sent that you are wrong. Wherever prejudice you might have with people of age have respect to Sata and what he has shown. I have liked your words "African leaders should emulate that"
 
Zambia wamepata rais sisi huku tunakusubiri dr Slaa, lakini siyo easy they must continue doing the good, ccm hawatoachia kirahisi lakini wakati ndo huu they are at their worst weakness
 
Ha ha..may be he is another mwanawasa,a man of the people and all this..but it could also be that he is too old to think of where he's gon spend any money he steals,..somebody give me a break,when you are 80+ there is so little you can do with money..gud gesture anyways,younger african leaders should emulate that.
una hakika na ukisemacho?
 
You have " left me in the woods" it is as if you want to say those who embelse and accumulate ill gotten wealth know how to spend (they have something for the money). I can bet with my last sent that you are wrong. Wherever prejudice you might have with people of age have respect to Sata and what he has shown. I have liked your words "African leaders should emulate that"

I think what you just said is fair enough as well...but we,the whole world are nothing but a bunch of selfish creatures,so obviously,corrupt leaders are so for selfish reasons..but you could probably be argumentantive and ask,if age was so much a big deal why mobutu neva distributed all his stolen accumulations when of old age,its why I say well done to mr. SATA..he did good.
 
PRESIDENT Michael Sata on Saturday personally paid lodging and food bills to Sun International Hotel's Royal Livingstone for over an hour's use of the resort.
After a closed-door meeting with Zimbabwean President Robert Mugabe who arrived by road from Victoria Falls Town, President Sata joked about President Mugabe's security detail, saying he was better off sending an envoy.
A hotel worker who sought anonymity said the President's gesture to personally pay the bill was a sign that he was allergic to corruption.
"What we used to see is that when president Rupiah Banda, Levy Mwanawasa or other senior government officers came for official duties, we were taking the bill to either the PS permanent secretary or the DC district commissioner and we saw a lot of inflations in the original bills being taken out to them and not come back. Sata is really doing the ‘Don't kubeba' style," the hotel worker said.
And President Sata when presented with two bills – one in a brown envelope and another in a hotel folder – queried the hotel staff over the authenticity of the bill.
"What is this?" President Sata asked a Royal Livingstone guest relations officer with the name tag Lydia Namukanda.
"Can you please give me a bill? The problem is that when you young men take off your hair, you also take off your brains. Who is the manager here?" complained President Sata

Huyu naye mkwara tu wa kuanzia, gear kubwa, msubirini mda mtamuona tu hata Mseven alianza hivyo, akina kagame nk, leo nenda kajaribu kuwatoa urais.
 
Raisi wako ye uchu wake umepitiliza kafikia kuhamisha mpaka wanyama pori kupeleka arabuni! akisafiri ana mtu 70 nyuma yake,wanaitwa wafanyabiashara at the same time unakuta kaongozana nao kwenda kuomba pesa nchi za watu.
Jiulize watu 70 wote wanalipiwa hoteli,chakula,usafiri wa ndege kwa kodi za watanzania, then wanaongozana na Raisi wao kwenda kuomba msaada wa ml100. wakimaliza safri yao unakuta wametumia ml250

Mkuu the Hunter bajeti uliyoweka hapa ya Mil250 ya ziara ya Rais na watu 70 ni ndogo sana. Wakati wa Sumaye ziara kama hiyo iligharimu Mil 450 miaka hiyo na kwa sasa hizi ziara za rais hazipungui Tshs Mil 800 hadi bil 2.
 
Ushauri wangu tu
asije fukia hela pembeni ya choo namtakia mafanikio na mikwara mema jamani anatisha labda niwape kilichonishtua kuna ile ndege ya zambezi air,,kuna kafanya biashara kakaiweka mfukoni serikali ya banda ..banda akienda sehemu kanachangia kumbe jamaa alikuwa alipi kodi wala ..alipoingia jama kafunga mpaka karakana wamepigiwa bills billio 2.8 akawapa wiki aoni mwelekeo jamaa kafungia ndege kenye karakana ya serikali akimaliza deni ziendelee

hatari kabisa asijeirudisha enzi za nyerere tv anasa asbh anatupa taarifa za nje tunamwona mchawi kumbe ye na mkewe ndio wanachungulia tv
 
HUYU JE

Meja na mkewe Kortini Kwa kujipatia Mil.100 wka njia ya udanganyifu

6108870.jpg

Tuesday, December 06, 2011 11:42 AM
MEJA wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha 511KJ, Gongolamboto, aliyetambulika kwa jina la Muhsin Kombo (39) na mke wake Devotha Soko (33) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa ya kughushi nyaraka za usimami
Jana washitakwia hao kwa pamoja walisomewa mashitaka yao matano na Wakili wa Serikali, Ladslaus Komanya mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema wa mahakama hiyo

Komanya alidai kuwa, washtakiwa hao na wenzao ambao bado hawajakamatwa walikula njama na kutenda kosa la kughushi nyaraka hizo ili wajipatie fedha hizo.

Komanya alidai kuwa Machi 25 mwaka 2008 ,Meja huyo kwa makusudi alighushi nyaraka za kikao za familia ya marehemu Awadhi Shoo kuwa imemteua Devotha Soko kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu huyo.

Aliongeza kwa kusema kuwa Aprili 23 mwaka huo, mshitakiwa wa pili Devotha alitoa nyaraka za muhtasari wa kikao hicho katika Mahakama ya Mwanzo ya Kinondoni, ulioonyesha kuwa yeye ameteuliwa kusimamia mirathi ya marehemu Shoo.

Mei 15 mwaka huo washitakiwa hao walitoa taarifa za uongo mahakamani zilizoonyesha marehemu huyo alifariki mwaka 1986 na kaacha watoto wawili.

Januari 28 mwaka 2011 kwa njia ya udanganyifu, watu hao walijipatia kiasi cha fedha Sh.Mil.100 kutoka kwa Rukia Zidadu kwa kutaka kumuuzia nyumba ys familia ya marehemu huyo

Wote walikana mashitaka hayo na Meja Muhsin aliachiwa kwa dhamana ya Sh. Mil 25 na wadhamini wawili wanaominika .

Devotha alipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha masharti ya dhamana hayo, Kesi hiyo imeahirishwa hadi Desemba 19 mwaka huu, itakapokuja kwa kutajwa

Man hii kitu imenibamba kishenzi! Yani kweli sisi bongo kazi ipo!
 
Vipi yule mkee wa Riziwan aliyepata full mkopo wa HSLB kuanza kusoma Dodoma mwaka huu???
kweli tunaishi kimjinimjini

Nipeni jina la huyo mtu..kuna jamaa yangu anafundisha UDOM akamatwe first semister tu...pumbavu!!
 
Back
Top Bottom