SATA Uses PERSONAL MONEY To PAY His Hotel BILLS

Sidhani kama ni nguvu ya soda mzalendo wa ukweli utamuona tuu kwa matendo yake
 
"What is this?" President Sata asked a Royal Livingstone guest relations officer with the name tag Lydia Namukanda.
"Can you please give me a bill? The problem is that when you young men take off your hair, you also take off your brains. Who is the manager here?" complained President Sata
That's where you're wrong Mr. President. It's unbecoming a leader, or any well-bred person, going around cursing out at hotel employees, especially if the hotel is not an affiliate of the Government. The hotel employee can bring an action against the president for verbal assault which will embarrass and distract his office.
 
Teh teh teh teh! Hizo bahasha mbili nafikiri moja ile ambayo italipiwa VAT (kwa huku kwetu) na hiyo ya pili ni ile ambayo haina VAT!
 
mkuu tatizo lao hao sio kukamatwa unaweza kumkamata akaishia oxford mpwa
wacha walambwe na maprof wetu shule iishe wakahubiri dini pale mahakamani easy usimsemee mbaya mpwa
 
Sata ananikumbusha kipindi cha kampeni za urais mwaka jana, pale dokta Slaa aliposema akiingia ikulu atakula hata mihogo ya kuchemsha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom