we we we...amyner jiheshim...tena umkanye na mumeo..
haha
Hahahaa yaani hapa najenga picha mkaka halafu baunsa anaimba "diva".. Hahahaha sooo funny!
we upo kiwanja kizuri...unanishawishi...vp iv hapo kila cku ni kwa kuponi ya buku kumi??
club za mjin kesho...najua hapo billz buku sita...
ndio ivo budget inahucka alah.
we upo kiwanja kizuri...unanishawishi...vp iv hapo kila cku ni kwa kuponi ya buku kumi??
club za mjin kesho...najua hapo billz buku sita...
ndio ivo budget inahucka alah.
sio tu mkaka holela...
ndio kidume chako umetoka nae...
wajanja wameckia wimbo wamesepa...yeye ndio kakazana jukwaani hana habari...
cjui utamsukumia nje au ndo utajikausha umsapoti akijisifia kuwa yeye ni DIVA..
hahahaha bagah hukosi neno! But haina shida, ntamwambia "Excuse me dear i think you should take a break!" Atapumzika mwimbo unaisha tunaendelea ku dance..
bado amekukumbatia? Loh!
Hahaha hata nimetoka kokote leo basi.. Nawatamania nyie mnao have a good time.. Nipo na series yangu ndio company ya leo!
Raha jipe mwenyewe. Upo na series gan? Nini kmekuzuia uctoke?
Aisee George and Dragon!! siku nyingi kweli sijazama hapo, ilikuwa niwepo weekend hii ila anopheles kanifanyia kitu mbayahapa twanywa tu
mie badae nazama joji n dragoni
ivi iyo series na mm na mm naweza icheki sio??