sasa wimbo unasema "um a single lady"...ww kidume unakata mauno kwenye stage..

karibu huku Savannah Lounge

we upo kiwanja kizuri...unanishawishi...vp iv hapo kila cku ni kwa kuponi ya buku kumi??
club za mjin kesho...najua hapo billz buku sita...
ndio ivo budget inahucka alah.
 
Hahahaa yaani hapa najenga picha mkaka halafu baunsa anaimba "diva".. Hahahaha sooo funny!

sio tu mkaka holela...
ndio kidume chako umetoka nae...
wajanja wameckia wimbo wamesepa...yeye ndio kakazana jukwaani hana habari...
cjui utamsukumia nje au ndo utajikausha umsapoti akijisifia kuwa yeye ni DIVA..
 
hahaaa nilikua VIP Club pale Iringa, ikawa inapigwa ngoma ya Beyonce Singke Lady kuna jamaa alikua anakata viuno ile mbaya...
Nilibaki sina mbavu ingawa nilikuwa na Serengeti zangu kibao kichwani
 
we upo kiwanja kizuri...unanishawishi...vp iv hapo kila cku ni kwa kuponi ya buku kumi??
club za mjin kesho...najua hapo billz buku sita...
ndio ivo budget inahucka alah.

kama kawaida kaka. Njoo u enjoy
 
we upo kiwanja kizuri...unanishawishi...vp iv hapo kila cku ni kwa kuponi ya buku kumi??
club za mjin kesho...najua hapo billz buku sita...
ndio ivo budget inahucka alah.

Bilz huwa panaboa sana cku mingne. Masharobaro weng na masta duu. Weng wanaojfunza clubing ndo hujazana mle na maisha.
Panakera.
Mi niko savannah napata raha bila karaha. Watoto watoto huku hawajapamudu.
 
sio tu mkaka holela...
ndio kidume chako umetoka nae...
wajanja wameckia wimbo wamesepa...yeye ndio kakazana jukwaani hana habari...
cjui utamsukumia nje au ndo utajikausha umsapoti akijisifia kuwa yeye ni DIVA..

hahahaha bagah hukosi neno! But haina shida, ntamwambia "Excuse me dear i think you should take a break!" Atapumzika mwimbo unaisha tunaendelea ku dance..
 
Kwani watu hunengua kwa kufuata maneno au mdundo? Ulevi nomaa. Mimi nashauri kuwe na jukwaa la walevi
 
Back
Top Bottom