Sasa Tunaomba Mwalimu wa Kuflash Modems

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
906
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na masomo mazuri yaliyosimamiwa na Calvin power na Dr phone kuhusu ku unlock modems.
Ni somo ambalo mimi nimekuwa mwanafunzi mzuri na nimegain sana tu.Leo naomba kuwasilisha hoja ya kuflashi modems.
Kuna mtu anayejua kuflashi atoe mada kuhusu kuflashi,ni lini tuflashi na ni vipi tuflashi,faida na hasara,mahitaji n.k?
Nitafurahi kuwa darasani tena!
 
magonjwa karibia yote yakuflash modem mi naona yameshatolewa,labda hujaperuzi kwenye hiz kurasa vizuri,pia unavyosema tutafute siku tuflash unamaanisha nini sjakuelewa vizuri,apreciation dr phone na calvin
 
Kumbe ukikaa darasani hata kama kilaza Akili inaweza ikakuvamia nawe ukashangaa. Mi tangu nov.mwaka jana kuna mtu aliniaidi kuja ku unlock moderm yangu,nlipokuja jukwaa ili nkagundua watu wanatupa direct link ktk google. Juzi nlipoingia kwa ofsi nkaanza utundu,nkapata direct link rais,yani unarequest code na kufungua moderm ndani ya sekunde 48. Nimefungu Huawei ya boss na wengine,sasa ofsini naitwa IT mgr badala ya mhasibu teeh teeh! Teeh! Jumatatu ntadeal na ZTE vodafone.
 
Wazo zuri sana bwana Elly B ila ukijaribu kufuatilia vizuri unaweza kujifunza pekee bila hata ya kuhitaji mwalimu yoyote kwa kufuata topics ambazo zilishakuwa zimejadiliwa humu bila shaka huwa tunasema JF mwisho wa matatizo. nakama utashindwa kusearch topics zako basi usijali

........jaribu kufuatilia uzi huu aliumwaga bro..chief-mkwawa

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/426278-jifunze-kusearch-topic-za-jamiiforums-na-tips-nyengine-za-kusearch.html

yaani kwenye huu uzi utaelewa na kujifunza juu ya kusearch topics zote ambazo zinajadiliwa hapa bila shaka.

enjoy

huo ni mtazamo wangu...

cc emerald kaiza mnacho
 
Back
Top Bottom