sasa nimeamin kuwa wanajf tunapendana!

hahaha.. . Wajad umenikumbusha rafik angu mmoja huwa anaupenda sana huo wimbo "naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo" . . asante likizo imeisha na vimeo nashukuru nimevi-clear. . . pamoja sana!

Pamoja sana dadangu! Nyota yako haitazimika wala haitafifia hapa jf! Vimeo just wawekee 'auto clear' yaani wapuuze tu na watafutika kwa pointless zao. Wewe unaheshimika jf zaidi ya unavyojifahamu.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana dadangu! Nyota yako haitazimika wala haitafifia hapa jf! Vimeo just wawekee 'auto clear' yaani wapuuze tu na watafutika kwa pointless zao. Wewe unaheshimika jf zaidi ya unavyojifahamu.

hahahaa, nimechekaje! yan najishangaa sana hapa jf kwanini nakuwa maarufu. huku kitaa ni kamtu kamoja local kweli na hata hakuna mtu anayetambua uwepo wangu wala mchango wangu. yan ungeniona live ungecheka kweli. . . .
 
Just hesabu maoni (positive) ya wadau wakati ulipotangaza kung'atuka yalikuwa mangap? Then learn yourself who you are in jf!
 
hebu njoo huku unitake radhi kiutu uzima!...
maana nilipanic.
 
samahani wapendwa simu yangu haiwezi kupost maneno meng. naelewa nini maana ya chit chat so sijakwazika kwa kutajwa wala nini, me nipo simple sana na wala siogopi kutajwa popope iwe katka jf ama real life kwan kutajwa hakunipunguzii hata chembe ya uhai wala kuniongezea. nimegundua wanaonipenda na wasionipenda ktk jf. ila napenda kusema kuwa ili ufanikiwe ktk jambo lolote unahitaji marafiki na maadui au positive na negative. nina imani mmenielewa. naomba lawyer wangu ruttashobolwa anisaidie. . EID NJEMA

Rutta jina kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
hivi ina maana ile thread ilileta sheshe...mmh anyway pole na majukumu na krb tena kwenye kuchit na kuchat
 
Back
Top Bottom