sasa nimeamin kuwa wanajf tunapendana!

Ruhazwe JR ndo kwanza unanitoa tongotongo kwa wakati ndio sasa kapigwa ban kwa sababu ipi? BTW nimesikitika kwan ntamiss usumbufu wake. nliamua kumsumbua ili jamvi linoge na wala sikuwa nachukia make km ningekuwa nachukizwa c

kunathread inaelezea taarifa hiyo ya ban,ninakamchina hapa nashindwa kukupa link,ila imeandikwa "taarifa kwa wana chitchat wote"kama sijakosea ni kitu kama hicho,i wish angekuwepo leo angefurahije?
 
Last edited by a moderator:
Judgement thanks for accepting my apology, also i missed you alot but now am back again. . .
 
Last edited by a moderator:
habari zenu kwa mpigo! kwanza naombeni radhi. niliaga kuwa sitaonekana kwa kukwazika na kutajwa tajwa kitu ambacho si kweli. ukweli ni kwamba wiki nzima tulikuwa na auditors ofisi na tulikuwa vimeo vya kutosha. so niliona nipumzike kwa muda ili nipate nafas ya ku-clear vimeo.kimsing najua wakati ndio sasa alikuwa ana-joke ila nikataka kuona ni jins gan wana-jamvi wananipenda. nawashukuru sana kwa upendo wenu mlouonesha nimeamin tupo pamoja ila kuna walionibeza kuwa nafanya utoto nimewasamehe!

Kumbe ndo wewe,huh!?!..ha ha..pole na kazi ngumu ya kufoji invoices
 
Last edited by a moderator:
Don worry ma client they will understand!
Your now under protection do not sign any contract without ma permission!
Those who will not forgive you have right to Appeal!

thank you very much my lawyer, i real appreciate ur concern. let me take this opportunity to apologise to u, for breaking the law by deciding to quit without your permission. i promise not to repeate it again. . .
 
@Erotika mpenz ndo mana nimeomba msamaha mamie! sikuwa namaanisha bali nlikuwa busy kazini so nkaondoka kwa style hyo. lakin kiukweli sijakwazika maana naelewa nini maana ya chit chat. . .
 
kunathread inaelezea taarifa hiyo ya ban,ninakamchina hapa nashindwa kukupa link,ila imeandikwa "taarifa kwa wana chitchat wote"kama sijakosea ni kitu kama hicho,i wish angekuwepo leo angefurahije?

ohh jamani. . . pole yake. ngoja ntaitafuta!
 
Naona kama ndoto kumbe ndivyo ulivyo. Pole kwa likizo hongera kwa kuimaliza.
 
Naona kama ndoto kumbe ndivyo ulivyo. Pole kwa likizo hongera kwa kuimaliza.

hahaha.. . Wajad umenikumbusha rafik angu mmoja huwa anaupenda sana huo wimbo "naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo" . . asante likizo imeisha na vimeo nashukuru nimevi-clear. . . pamoja sana!
 
Unafanya mchezo na Jf hapa huwezi toka kama si kubadili ID. karibu sana.

hahahaa mkuu tedo nilikuwa busy kidogo nkaona ntafte style ya kuondokea. btw nshakuwa addicted mpk najichukia so kutoka ngumu kweli,hata ambavyo nlikuwa likizo nilikuwa napita tu fasta nacheck news then nasepa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom