Sarakasi za bungeni

Mr.Professional

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,582
258
Spika: Kuna mtu amejamba humu ndani!

Lisu: Atakuwa pinda huyo mheshimiwa!

Mbowe: Naomba mwongozo wako mheshimiwa Spika, kanuni ya 64, ibara ya 3a inasema kwamba "Mtu akijamba katikati ya kikao cha bunge lako tukufu na harufu ikaenea bunge zima, basi wabunge wanahaki ya kuziba pua, lakini kama harufu itazidi halafu mjambaji akacheka, basi wabunge wanahaki ya kumkamata mjambaji na kumziba kijambio kwa dakika kadhaa mpaka harufu iishe", sasa naliomba bunge lako tukufu liruhusu sheria itekelezwe maana Mheshimiwa kajamba halafu anacheka.

Spika:
Haya leteni superglue haraka

Pinda: Acheni ufala nyie, mie sijajamba nimepumua kisela tu!
 
ni jukwaa la jokes lakini ni bora pia kutumia lugha ya picha kidogo,utani hauondoi utu wa mtu
 
ni jukwaa la jokes lakini ni bora pia kutumia lugha ya picha kidogo,utani hauondoi utu wa mtu

kwani vituko wanavyofanya bungeni huwa wanatumia lugha ya picha kuvifanya? mbona kujamba ni jambo la kawaida sana shida ni nini?
 
Kama huna kitu kinachoitwa 'sense of humour' ni vigumu ku-appreciate hii joke ya bungeni! Utaona kama kuna 'waheshimiwa' waliokashifiwa!
 
Mmmmh you make my day, daaah! Nimecheka sana kila mtu was asking me why nacheka hivyo, kweli ndo bunge letu sisi wadanganyika!
 
Back
Top Bottom