Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Ni jambo lililo wazi sasa na ni jambo la muda tu kabla Tanganyika hairudisha mamlaka yake na kuwa mwisho wa taifa liitwalo Tanzania .. Ambapo kutakuwa na serikali tatu
Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Kwasasa kwenye Muungano tukiachana na mengine yote kuna mkanganyiko kwenye mambo mawili muhimu na kila jambo moja linagusa upande mmoja wa Muungano
Kwa upande wa Tanganyika serikali na mamlaka yake imepokwa na kumezwa na serikali ya Jamhuri ya muungano Tanzania
Kwa upande wa Zanzibar wamebaki na mamlaka yao kamili na serikali yao ya Mapinduzi lakini wameshindwa kabisa kuhodhi mamlaka ya kubaki na sarafu yao na badala yake wanatumia sarafu ya Jamhuri ya Muungano ambayo kwa sehemu kubwa ni kama sarafu ya Tanganyika
Kwa wasio na ufahamu ili taifa lijitangazie mamlaka kamili linahitaji mambo haya
1. Mipaka
2. Majeshi
3. Wimbo wa Taifa
4. Bendera ya Taifa
5. Bunge
6. Kiongozi mkuu
7. Mamlaka ya kisiasa/kijeshi/ kifalme
8. Sarafu
Tanganyika ina vyote hivyo.. Zanzibar wanakosa sarafu.. Je watarejesha sarafu ya sultani muungano ukivunjika ama wataiboresha kuendana na matakwa ya sasa? Je alama za sultani zitakuwepo kama kumbukizi?
Sent using Jamii Forums mobile app