Nevioti kama wewe ni msomi wa sheria tafadhali jibu swali kwa kufuta kanuni za kisheria. Nadhani mie ambaye sijasoma kabisa sheria na wala sijui sheria ninadhani ungepaswa kwanza kunukuu hiyo kanuni ya 85 uonyeshe inampa mwenyekiti mamlaka kiasi gani. Pili unukuu kanuni ya saba na vipengele vyake ndipo uonyeshe jinsi kanuni ya 85 ilivyotumika kutengeua kanuni ya 7 na vipengele vyake. Baada ya hapo ndipo uonyeshe jinsi hoja ya Samwel Sita iliyoenea au kutokuenea kwa hoja husika. Lakini unapojibu hoja kama muuzaji wa nyanya na kudai kuwa unayo CV nzito ya shahada ya uzamili hapo unanipa kutilia wasiwasi elimu yako hiyo.
Duu aise mkuu umemchanachana jamaa na ka mastaz kake kiungwana kabisa. Safi sana