dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,130
- 49,391
tatizo siyo nchi kavu, tutwaambia nini wale watu millioni kadhaa kule wanaotegemea ziwa? yaani maji unayaona hayo hapo ukitaka samaki unaomba kibali Lilongwe...upuuzi usiokubalika
Mkuu mbona samaki umeenda mbali sana. Yaani wale Wakinga wakitaka kuoga ziwani, pengine kwa masharti ya mganga, itawabidi wafunge safari hadi Ubalozi wa Malawi ulioko Dar es Salaam kuomba visa ya kuingia Malawi (ziwani).
Balozi atapima maombi husika akiona hayana tija hatoi visa na hiyo pia itategemea kama tutaendelea kuwa na uhusiano wa kibalozi nao vinginevyo watani zangu wakinga, wanyakyusa, na makabila mengine kando kando ya ziwa mtaishia kula kwa macho tu.