Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Nimeshtushwa na tamko ambalo amelitoa muda huu bungeni kuwa Serikali ya Tanzania iko tayari kwa uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi na ametoa tamko hilo kama kaimu waziri Mkuu .
Tamko hili kalitoa kwa niaba ya Serikali sasa hii ni hatari kama Kaimu waziri Mkuu anaweza kutangaza vita na hii ni kinyume na katiba yetu mwenye mamlaka hiyo ni Rais ambaye ni Amir Jeshi Mkuu.
Tamko hili kalitoa kwa niaba ya Serikali sasa hii ni hatari kama Kaimu waziri Mkuu anaweza kutangaza vita na hii ni kinyume na katiba yetu mwenye mamlaka hiyo ni Rais ambaye ni Amir Jeshi Mkuu.
Hajatangaza vita hapo. Amesema iko tayari kupambana na uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi.