Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja?
Aaaah Hapana bwana! Siyo kwamba jamaa kashika tama? Naona macho yako yana shida nenda Muhimbili haraka!