Samuel Sitta anadhamira ya dhati na Tanzania

Jan 17, 2013
29
8
Kwa kuanza naomba kuwapa pole woote wenye majukumu ya hapa na pale na Mungu wetu si mchioyo wa fadhira anaendelea kutujaaria uzima na afya njema. Naomba kwa wajumbe wa Jamii forum kufahamu mawazo pamoja na fikra zao juu ya mwenendo wa swala la Rasimu ya Katiba ambayo inaendeleza kuchanwa chanwa na wajumbe walio baki bungeni. Je kuna uhalali ya wao kuendelea kujadili kitu ambacho tayari rais na tcd walishafikia mwisho kuwa swala hilo litaendelea mwakani mara tu ya uchaguzi kumalizika. Hawaoni kuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi yetu huku tukiwa na mambo rukuki ambayo yanatuhitaji kutumia fedha? Tena kwa kejeli kubwa nimemsikia Samweli sitta akisema kuwa hawa Ukawa ni Wacheza filamu za kuigiza huku akiwafannanisha na akina Anord Soziniga na wengineo kuwa wao hawawezi kuwababaisha kwa namna yeyote ile. Je huyu Samweli Sitta anamaslahi na Anahuruma na Wanyonge wa Nchi hii ambao hata hajui leo watakula nini na wataendeshaje maisha yao ya kila siku?
 
ana masilahi na tumbo lake.
Je kwa viongozi aina ya kina Sitta twaweza kuongoza nchi yetu kwa Amani pasipo kuwepo kwa vurugu kupitia kwa yale wayatendayo kwa jamii yetu? Kwanza kashindwa kuwasikiliza viongozi wa kidini toka madhebu yote kupitia tamko lao. Pili kashindwa kuzisikiliza sauti za wanyonge wanchi hii (WaTanzania) kwa kushindwa kusikiliza mawazo na maoni yao. Na kwa kejeri kafanya kazi ya Tume kwa kujigeuza yeye wa kukusanya maoni huku bunge likiendelea wakati huo wakati umeshapiata. Huyu huyu ndie anayetaka urais kwa hari hii anafaa kweli?
 
Sitta ni mzalendo sana !
...Ana lengo jema la kuhakikisha katiba itapingwa kwa kuweka vipengele vya hovyo hovyo km vile urais miaka 14, ubunge hata std 7, hakuna serikali ya kusimamia mambo ya Tanganyika, mamlaka ya rais inaongezwa kuwa km ya kifalme, wananchi hawana mamlaka yoyote nk.
Ana lengo jema hamjagundua tu !
 
Back
Top Bottom