Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

alkiuwa mtangazaji mmoja wa Ebony Iringa anaitwa Edo huyu jamaasijui siku hizi kaishia wapi,ila ni mkali balaa halfu haigi swaga za mtu

eddo bado yupo ebony ila ana makelele mengi + english ya kuungaunga....kwakfupi yupo ovyo.
 
Teh teh pale mjengoni sana sana walikuwa wanamtegemea Ncha kali,Zamaradi na Vanessa wakija wasanii wa nje hao ndio wanapewa jukumu la interview. Hawa wengine hamna kitu.

Kweli mkuu kuna siku Adam na B12 walikimbia studio kuna msaani wa nje alikuja kimombo kikawapiga chenga hadi akaja Nchakalih
 
Dah! Hao wote wanajaribu, Kuna Mtu/Jamaa anaitwa(Bashiri M) Huyu Jamaa siku hizi sijui yuko wapi.
 
Acha kumfananisha B12 na mambo ya kijinga, na ni dhambi kumfananisha Fundi Adam mchomvu na huyo dulla, baba Jonny sio MTU hivi hivi tuu he's the best presenter ever
 
B12 yuko vizuri akiwa redioni ila Tv yuko shy mbaya Ana aibu ya milele, hata kipindi cha mkasi hakutaka kabisa kuwa interviewed ila salama alimlazimisha sana....baadaa ya show aka mwambia " siunaona mzee tume maliza sasa ulikua una ogooopa,"
 
Leo huyo Sam kavuta kitu cha AR na huyo mwalikwa duka kaliacha wazi kiaina..
 
Hapo tuu ndo huwa nashangaa, naona pages zinazidi kujaa na kuongezeka lakini kama ni mtihani wengi wenu kama cyo wte mmeshafeli kwa sababu hao wte wana-run shows tofauti wakati B-DOZEN Na MCHUVU wakiwa kwa Radio den SAM MISAGO Na dula wanafanya tv shows bt Dula anackikaga kwa Radio sometyms so ni ngumu kuwalinganisha
 
Basi Mimi nadhani presenter anayeweza Ku rud both tv and radio shows ndo Mkali, ni sawa namchezaji anayefunga magoli kwa miguu yote, free kick, kichwa nk... Then umfananishe na yule anayetegemea mguu mmoja tu kufunga magoli.
 
Back
Top Bottom