Tatizo wapo wengi wanaoiga swaga za B twangala, sio Misago peke yake. Sie tuliopo mikoani tunasikiza redio tofauti tofauti tunawasikia wengi wanavyohangaika kumuiga mchizi, In short Twangala ni NOUMA na ndio maana wanaomuiga ni wengi. Baba Jonii yupo juu vile vile.
halafu yule mtu wa kuitwa Dee Saba ni mkali kinoma,sema ukitangaza kwenye redio za mkoa ni ngumu sana ku-run town
sam misago ana sura kama penseli iliyochongwa
sam misago ana sura kama penseli iliyochongwa
mbaya zaidi anajionaga handsome yule pimbi na kichwa chake cha kuku kishingo
hata mi mkuu yaaani hana hadhi ya kuendesha vipindi vya tv , kwanza mi nshaacha kuangalia hio channelhuyo wa eatv ,anaweka pozi kama za mdogo wangu kike,siwezi angalia tv akiendesha kipindi
huyu jama yuko fresh ana style yake ya kuingiza vijimaneno vya lugha za kikabila ila kitu kimoja tu naye anamuiga mtu fulanialkiuwa mtangazaji mmoja wa Ebony Iringa anaitwa Edo huyu jamaasijui siku hizi kaishia wapi,ila ni mkali balaa halfu haigi swaga za mtu