Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

Fear as suspect Japan fish enters Dar market
Monday, 25 July 2011 23:10
The Citizen ReportersDar es Salaam/Arusha. The government has warned consumers in Dar es Salaam and elsewhere to be extra-careful when buying fish following reports of importation of the delicacy from Japan that might have been contaminated by radiation.A statement by the ministry of Health and Social Welfare said yesterday that samples of a seized consignment of the imported mackerel fish destined for Dar es Salaam markets have been taken by the Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) for testing.The fish is suspected to have been contaminated with radiation produced by Japanese nuclear plants that were damaged by an earthquake and tsunami last March.In Arusha, the Tanzania Atomic Energy Commission (Taec) confirmed yesterday that its experts were investigating the consignment feared to have been thus contaminated.Taec’s acting director general Mr Firmin Banzi, told The Citizen that his commission’s officials in the Dar es Salaam sub-office would collect samples for testing.“I can’t say if the fish is contaminated or not. We are waiting for the samples to be collected from the ship,” he said, noting that Taec was mandated to screen all imported food.Mr Banzi said health risks from radioactive material could be in the form of exposure to the dust generated during uranium mining or its transportation.When inhaled, radon, a gas derived from uranium mines or emitted from explosions of nuclear stations, lodge in a person’s lungs, delivering a massive dose of alpha radiation to the sensitive lung tissue. The result is an extraordinarily high incidence of lung cancer, fibrosis of the lungs and other lung diseases, all of which take decades to become manifest, he said.“If not controlled radioactive materials can be catastrophic”, he noted. He could not say when the investigations on the imported fish would be completed and either would he disclose the name of a ship that brought the consignment to the harbour.And in Dar es Salaam, a statement signed by permanent secretary in the Ministry of Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni, said 124.999 tonnes of fish suspected to have radioactive elements were imported by sea on July 18.However, said the statement, on July 24, the government, in collaboration with TFDA and the police, seized 123.673 tonnes, indicating that at least 1.319 tonnes of the fish had already been transported upcountry or supplied in the city.The consignment was imported by the Alphakrust Ltd Company of Dar es Salaam from Kaneyama Corporation, a Japanese company based in Chiba, Japan. The PS said the missing 1.3 tonnes are believed to have been transported to Morogoro municipality and Kilombero District and some other areas served by the Magogoni Ferry fish international market.“According to the information obtained from Alphakrust Ltd Company’s data base, some boxes of the fish were distributed in Dar and neighbouring Morogoro region,” reads part of the statement.However, the Ministry confirmed that the consignment from Japan was legally cleared by Tanzania Revenue Authority (TRA) and approved according to TFDA procedures at the port upon its arrival on July 18.The consignment had the permit from the Japan Frozen Foods Inspection Corporation (JFFIC), which is under the Japanese ministry of Health, Labour and Welfare.The “Mackerel” fish were processed December 2010 and its expiry date is June, 2012.The PS said her office received the information on the queried consignment on July 23 and it ordered for immediate measures to be taken.“The Ministry was informed on the fish on July 23, and we responded on the same day ordering TFDA to block its sale pending the authority’s test,” reads the statement.The TFDA acting director general, Mr Hiiti Sillo told The Citizen his office has received an order from the ministry and that it was working around the clock to make sure the matter is sorted out.He said TFDA was aware of the situation and it has already deployed its officers in various areas to locate the missing fish. “What I can say is that TFDA is going with tests as ordered by the ministry and we are working hard to bring everything back to normalcy,” said Mr Sillo.The Dar es Salaam Special Zone police commander, Assistant Commissioner of Police (ACP) Suleiman Kova, said the police had no say on the matter but promised to work together with TFDA and the ministry if that would be deemed necessary.He said it would be difficult for him to mention where the consignment was being conserved for the security reasons.However, the Tanzania Bureau of Standards (TBS) director general, Mr Charles Ekelege could not respond on the matter, saying he was in the middle of an important meeting. According to a survey conducted by The Citizen at Feri Fish International a number of boxes containing ‘Mackerel’ fish were brought at the area on Sunday morning and were sold Sh51,000 each.Reported by Florence Mugarula and Zephania Ubwani
Hii kitu inafanywa kisiasa tu, kama ulivyosema samaki wamekuwa "processed" December 2010 na Tsunami Japan imetokea on 11 March 2011 na spillage ya contaminated water kutoka kwenye reactors ilitokea around 26 March 2011. Hapo hakuna linkage ya hiyo consignment na radioactive waters..Kuhusu kwa nini tunaimport samaki toka nje, hii ni kutokana na "demand" ya samaki hapa kwetu. Samaki wale (mackerel=vibua) ni cheap kuliko hata bahadhi ya samaki wa hapa kwetu na wanakuja wakiwa wamegandishwa hivyo ni rahisi hata kuwafikia watu wa kilombero na maeneo mengine ya mbali ambayo kwa kawaida si rahisi kufikiwa na samaki wetu wa Feri au Msasani. Pia wavuvi wetu sisi bado hawajawa na uwezo wa kuvua na kuhifadhi vizuri samaki kuweza kufikia walaji wote wa Tanzania.
 
Nimekuwa nikifuatilia suala la safety.
Ukweli ni kwamba Japan ni nchi inayoongoza duniani kuwa na strict food safety regulations. Sidhani kama wangeweza kuruhusu contaminated food products kuwa exported unless inspection na vipimo vyao vili-fail, jambo ambalo wangelikuwa tayari wameutaarifu ulimwengu mzima.
 
Serikali ipo?tbs wanakazi gani nchi hii?vipi kuhusu watu wa bandari je ukaguzi ulifanyika kweli?tunaelekea wapi jamani?
kwote huko ucongelee kuna uchafu wa magamba kibao!...tatz wengi wa wafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi wana vision za pale vinapoishia vitambi vyao 2! We dont consider the next generations.! Ndo maana wanaingia mikataba ya ardhi ya 100 yrz!shit diz pple inabid 2anzishe mfumo wa kupima IQ zao!
 
Mbona ni zaidi ya miezi miwili tumepata habari hii ya uwepo wa samaki hawa wenye sumu wa Japan? Hawa samaki wametokana na yale majanga ya kibinadamu yaliyotokea kivi karibuni kule Japan. Kwa hiyo hawa samaki tumewala sana.

Kwa kweli wamechelewa sana kuja na wazo hili. Ndivyo kwa nchi ambazo zipo nyuma kiuchumi, tungefanyeje na viongozi wetu ndio hao, pumba, mchuzi, mlenda, matembele, mboga mboga. Mume wa salmi kama mfalme juha, atajua wapi kazi kutuachia moshi.
 
Mpaka sasa hakuna taarifa za kisayansi zilizo thibitisha shehena hiyo ya samaki ilikuwa contaminated, bado ni hisia tu ambazo zimekuwa based kwenye ajali ya vinu vya nuclear huko Japan. Kama ilivyoelezwa, samaki wamekuwa processed dec 2010, ajali ile ilitokea march 2011, So wasomi wa JF tuache kujadili hizi hisia
 
Nina wasiwasi kwamba inawezekana nikawa mmojawapo wa waathirika kama samaki hao watagundulika kuwa na mionzi ya nuke. Siku tatu zilizopita nilijipendelea wali samaki kwa mama lishe. Kipande cha samaki kilikuwa kikubwa kuliko kawaida (hakuwa kibua niliyemzoea pale kwa mama lishe), tena kwa bei ile ile ya kila siku.

Hii ni very serious issue. It is obvious that the deal was fishy. Haiwezwekani mtu unatoa kibali cha kuingiza samaki kutoka nje ya nchi kuja TZ yenye bahari na maziwa mengi tu halafu hushtuki, tena nchi yenyewe Japan ambayo habari ya kuvuja kwa vinu vyake ilivuma sana. Kwa kweli umakin wetu kama taifa uko chini sana.

Na hapa bado magari ya mtumba kutoka Japan, haya yatatuua sana maana gari nyingi sana zilibebwa na kile kimbunga na kuachwa zikielea baharini na fukweni. Hizo gari zikiletwa bongo itakuwa kila anaepanda anapata mionzi. Kwa kweli ni afadhari ya samaki ambapo ataathirka aliyekula tu kuliko gari ambalo kila atakayepanda, ataondoka na kiasi fulani cha mionzi na mionzi hiyo inachukua miongo kuisha nguvu.
 
Mpaka sasa hakuna taarifa za kisayansi zilizo thibitisha shehena hiyo ya samaki ilikuwa contaminated, bado ni hisia tu ambazo zimekuwa based kwenye ajali ya vinu vya nuclear huko Japan. Kama ilivyoelezwa, samaki wamekuwa processed dec 2010, ajali ile ilitokea march 2011, So wasomi wa JF tuache kujadili hizi hisia
Hivi wewe mkuu uko dunia gani hasa?! Naona umekomaa na kitu kidogo hivo kama tarehe, umeshawahi kusikia neno 'kughushi'?! Unategemea mfanyabiashara mwenye nia mbaya angekuletea document inayoonyesha tarehe sahihi???
 
Japanese are very strictly on their regulations, hawana ujinga kama huu kabisa wa kusema kughushi or any cheating!! Ndio maana hata gari zao wanakuwekea kabisa grades. Wadanganyifu ni sisi watanzania. During that time huko Fukushima hata fishery yao ilikuwa closed!! Hii rumours ni majungu ya kibiashara tu, the guys follows all the proper laid procedures including taking samples to Tanzania Nuclear Agency. Kingine samaki kabla ya kutoka Japan, must first be certified by Japanese governmental agencies after a vigourously laboratory tests and issued a Health and Sanitary Certificate which was approved by TFDA and other agencies!! Hii inafanyika ili kujiridhisha na kuthibitisha kwamba huyo aliyetip-off was wrong!!
 
MUNGU TUNUSURU NA WAUAJI HAWA!. Waziri wa afya anasema hana taarifa, tfda wametoa kibali samaki waingie sokoni, baada ya kuambiwa na wizara wanasema wanafuatilia ili kuzuia uuzaji wake, swali je wanakili kwamba wametoa kibali cha samaki hao kuingia nchini? Kama ndio je wametoa maelezo gani kwa wizara walipoambiwa wazuie usambazaji wake? Kama wizara inajua utolewaji wa kibali hicho then inatoa jukumu la kuzuia wanampa nani kazi hiyo?
TRA walichojali ni kukusanya mapato tu bila kujali nini kimelipiwa!
Wizara ya mifugo nayo haikufanya lolote kujiridhisha ni nini kimeingizwa nchini.
TBS nao kazi yao ni nini katika hili?
KAMA VYOMBO VYOTE HIVI TULIVYOVITUMA KUTULINDA NA KUANGALIA MUSTAKABALI WETU VIMESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO(?) Tumlilie nani? Napata tabu sana na nashindwa kuamini kama kweli wote hawa wameshindwa kutambua ukweli wa suala hili. Mbaya zaidi anuani ya walikotoka (imebadilishwa?) lakini kampuni imejulikana. Je hawa wanatofauti gani au nitakosea nikiwaita wauaji? MUNGU TUNUSURU NA MIKONO NA MIOYO YA HAWA WASIOFAA KUITWA WANA WA ADAM.
 
Nimekuwa nikifuatilia suala la safety.
Ukweli ni kwamba Japan ni nchi inayoongoza duniani kuwa na strict food safety regulations. Sidhani kama wangeweza kuruhusu contaminated food products kuwa exported unless inspection na vipimo vyao vili-fail, jambo ambalo wangelikuwa tayari wameutaarifu ulimwengu mzima.

Wewe vipi ?? Inaonekana hujajua "mafia" inavyofanya kazi. Penye pesa watu wako tayari hata kuua ili mradi anapata fetha laini. Inasikutisha kwamba miaka 50 baada ya uhuru, bado watanzania wengi wanafikiria kama wewe na tunaamini kila tunachoambiwa bila kufanya "verification" kana kwamba hatujaenda shule. !! Tuulize wenzio tulioku huku unakothania ndiki kunaongoza kwa food safety regulation tukuambie !!
 
nafikiri kwa matukio yalivyo nchini Tz serikali ya sasa tuiite ni "Liberating Government" kwa sababu u can behave as u like and no body cares.
 
Kwa upuuz unaoendelea nchi hii mi naona kuna umuhimu wa mkoloni kurud tutawaliwe tena ndo tutaeshimiana.
 
Hii kitu inafanywa kisiasa tu, kama ulivyosema samaki wamekuwa "processed" December 2010 na Tsunami Japan imetokea on 11 March 2011 na spillage ya contaminated water kutoka kwenye reactors ilitokea around 26 March 2011. Hapo hakuna linkage ya hiyo consignment na radioactive waters..Kuhusu kwa nini tunaimport samaki toka nje, hii ni kutokana na "demand" ya samaki hapa kwetu. Samaki wale (mackerel=vibua) ni cheap kuliko hata bahadhi ya samaki wa hapa kwetu na wanakuja wakiwa wamegandishwa hivyo ni rahisi hata kuwafikia watu wa kilombero na maeneo mengine ya mbali ambayo kwa kawaida si rahisi kufikiwa na samaki wetu wa Feri au Msasani. Pia wavuvi wetu sisi bado hawajawa na uwezo wa kuvua na kuhifadhi vizuri samaki kuweza kufikia walaji wote wa Tanzania.

KWAKUWA KUNATARATIBU ZA UINGIZAJI WA SAMAKI NCHINI, NASHAURI UCHUNGUZI WA KITAALAM UFANYWE NA WIZARA HUSIKA ILI KUBAINI KAMA KUNA MIONZI KABLA YA SAMAKI HAO KURUHUSIWA KWA CHAKULA. VITU VINGI SANA VINAINGIZWA NCHINI KINYEMELA AMBAVYO KWA HAKIKA HAVIFAI, NA VITU VINGI SANA VINAPELEKWA NJE KIAINA VIKITOROSHWA NA VINATHAMANI KUBWA AMBAYO INGEFAA KWA MANUFAA YA WATANZANIA. MATHALANI KUNA MCHANGA WENYE MADINI UNAKWENDA NCHI ZA NJE UNATHAMANI SANA LAKINI HATUJUI, SAMAKI WA ZIWA VICTORIA WANATHAMANI SANA NJE YA NCHI WANAKWENDA KWA GHARAMA KIDOGO SANA WAKATI WANANCHI WANALIA NJAA. KWA ISHU YA SAMAKI WIZARA, TFDA, MIONZI NA INTELIJENSIA WANAPASWA KUSHITUKA NA KUANGALIA MASLAHI YA TAIFA. JAMBO HILI LISIFUMBIWE MACHO NI HATARI KWA TAIFA CHANGA KAMA TANZANIA AMBAYO INAHITAJI WATAALAM WENGI WENYE AKILI NYINGI WATAKAOTUMIKA KUFANYA MABADILIKO YA HALI YA JUU YA NCHI YETU.KUTOKANA NA KUFUBAA AKILI KWA KULA VITU VYA OVYOOVYO TUNASHINDWA KUTATUA VITU VIDOGO KAMA VILE KUONDOA TAKA JIJINI DAR, KUPUNGUZA FOLENI, KUONDOA MAGARI CHAKAVU MJINI, HAKUNA MIPANGO MIJI, HII HUENDA INATOKANA NA LISHE DUNI TUNAYOKULA WATANZANIA, UKILA VYAKULA VYA OVYO HUWEZI KUFIKIRI SAWA! nDO MAANA HATUNA UMEME KWENYE KARNE YA 21 TUNAONA SAWA TU, NDO MAANA WATU WANAKAA KWENYE NYUMBA MBOVU TUNAONA SAWA TU, TUNARUHUSU MAKONTENA YA MCHANGA KWENDA NJE TUNAONA SAWA TU, WATU WAKIFA KWA AJALI TUNAONA SAWA TU, KILA KITU SAWA TU NI HATARI SANA. TUNAKOKWENDA SIO, WALE WALIOPEWA DHAMANA NA WANNCHI WANAPASWA KUNGALIWA KWA MAKINI SANA, NI HATARI KUWA NA WATU DHAIFU KATIKA KUFIKIRI. AMKENI MTAKUFA MNAJIONA NA KAMA HAMFI HARAKA MTAUZA NCHI YENU KWA BEI YA NJIWA.
TUTAKULA HATA MAVI TUTAONA SAWA TU.
WIZARA YA UVUVI, TFDA,TUME YA MIONZI,BANDARI, POLISI, TAKUKURU, INTELIJENSIA CHUNGUZENI HIYO ALPHA NI KAMPUNI GANI JE HIVYO VIBALI NI VYA KWELI, JE HAO SAMAKI NI KWELI WAMETOKA INDONESIA AU JAPAN. JE KAMPUNI HII INAFANYA KAZI KWA MASLAHI YA NANI. HATA KAMA SAMAKI WETU WANABEI JE YAFAA TULE SAMAKI WENYE SUMU AU WALIOOZA??????SAMAKI KUGANDISHWA SIYO UBORA HATA UCHAFU UNAWEZA KUGANDISHWA KUMBUKA KUNA FECAL,TYPHOSA, E.COLI HAYA MADUDU YANAPATIKANA KWENYE KINYESI JE HAYAWEZI KUGANDISHWA? MIONZI JE HAIWEZI KUGANDA KWENYE ICE PLANTS? TUTUMIE AKILI ZAIDI ITATUSAIDIA; WENZETU WANAPOVUMBUA MAMBO NI KWAMBA WANAKULA VIZURI SI HOVYO, HATUWEZI KUFIKA KWA MAMBO YA HOVYO
WIZARA YA UVUVI HIVYO TUNAHITAJI FEDHA TU AU CHAKULA KWA WANANCHI NA MAHITAJI YA CHAKULA YATOSHELEZE? MBONA TUNAZUIA MCHELE KWENDA KENYA NA MAURITIUS, MADAGASCA TUNASHINDWA KUZUIA SAMAKI KWENDA NJE ILI WATUMIKE KWA CHAKULA CHA WATANZANIA? AKILI NYINGI, HEKIMA, NA BUSARA NA UAMINIFU VITAJENGA NCHI LA SIVYO TUTAUA NCHI MAANA MAMBO MENGI HAYAENDI, KUMBUKA MIAKA 50 TANGU TUPATE UHURU TULIKUWA NA SMAKI WENGI LEO HII CHAKULA BARAFU IMEKUFA TAFIKO IMEKUFA, VIWANDA VYA FURU MWAMZA VIMEKUFA. NCHI INAKUFAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MANAAAKE WATU WANAKUFAAAAAA WALIOJENGA NCHI WANAKUFAAAAA NA HATUNA MIKAKATI YA KUJENGA NCHI HIIII NI HATARI SANA.
 
Sio tu kuharibu afya zetu bali kuongeza umasikini kwa wafanyabiashara wa samaki na wavuvi kwani hawatapata fedha kwa ajili ya maisha yao na kumudu gharama muhimu kama za matibabu na elimu kwa watoto wao kwa sababu soko la samaki wao kwa taarifa hizi ndio linakufa hivyo!!
 
Kulingana na TFDA, chunguzi zote hizo zilifanywa kwenye wale samaki (Microbial, Radioactive etc) na ndio maana waliridhika nao na kutuo kibali cha kuwaingiza nchi. Pia serikali ya Japan ilitoa hati ya afya (Health Certificate) kwaba samaki hao wanafaa kuliwa na binadamu. Sasa kama kuna wasi wasi kwamba vyeti/hati hizo ni forgery, then tusubiri uchunguzi huu wa pili unaofanywa na tume ya mionzi huko Arusha.
 
Sumu ya mionzi haipatikani kwenye vyakula tu, ni kwenye bidhaa zote zinazotoka kwenye source of radiations.
Ikiwa ni pamoja na hayo mashangingi, nywele za bandia, vyupi, n.k., vyoote hivyo vime contain Background Radiation (B.R.).
 
Kulingana na TFDA, chunguzi zote hizo zilifanywa kwenye wale samaki (Microbial, Radioactive etc) na ndio maana waliridhika nao na kutuo kibali cha kuwaingiza nchi. Pia serikali ya Japan ilitoa hati ya afya (Health Certificate) kwaba samaki hao wanafaa kuliwa na binadamu. Sasa kama kuna wasi wasi kwamba vyeti/hati hizo ni forgery, then tusubiri uchunguzi huu wa pili unaofanywa na tume ya mionzi huko Arusha.

Wewe ndio umepotea kabisa unafikiri uchunguzi ukifanyika wakikuta zina mionzi watakuambia?watakupiga fix utulie.mambo yanaenda kimagambamagamba tu,hii ni TZ bwana.
 
Wewe ndio umepotea kabisa unafikiri uchunguzi ukifanyika wakikuta zina mionzi watakuambia?watakupiga fix utulie.mambo yanaenda kimagambamagamba tu,hii ni TZ bwana.
Waambie, tz nchi fix tu. Hata hivyo hatari hii waliitambua mapema sema tu wamevuta kitu kidogo.
 
Wewe ndio umepotea kabisa unafikiri uchunguzi ukifanyika wakikuta zina mionzi watakuambia?watakupiga fix utulie.mambo yanaenda kimagambamagamba tu,hii ni TZ bwana.
Waambie, tz nchi ya fix tu. Hata hivyo hatari hii waliitambua mapema sema tu wamevuta kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom