mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza ni kwamba hao machangudoa wanaokaa kwenye hiyo nyumba,wote ni under 25,alafu wote wanajina moja hilo hilo la Angel,yaani mpaka inafikia mtu anamuelekeza mwingine bwana nipo hapa karibu na kwa kina Angel.Na sio hao tuu hata machangudoa wengine ambao hawaishi humo,yaani ukiwaita angel tuu wanageuka au mara nyingine hukufuata kabisa.Sasa hivi inawezekana nyumba inayohost watu karibu 30,kuhifadhi watu wenye jina moja tuu,au hii Angel inamaana katika shughuli zao?