Samahanini wakina Angel mliopo humu jamvini!!!

Yeye anajiita Angelo! Lol!
Duuh,mtoto unakumbukumbu wewe,yaani siku ile nilipokutajia jina tuu umelikariri?nitakurudia tena umenifurahisha sana napenda watu wenye kumbukumbu kama wewe!!!Laki ni mbona huku unajiita MwaJ
 
''UKIMWI Utaisha?uzinzi utapungua?dah yani ukizoea hao,kuna ndoa kweli?je zitakuwa aminifu kama maagizo ya Mungu? Then wat next? Ukifa ghafla,utajiteteaje ukiulizwa na Mungu? .......just thinking loud,na viganja mashavuni
 
Angel = Malaika. bt c malaika wote na malaika wa nuru (Mungu) wengine ni malaika wa giza (shetani) so hapo ni Devil's angels on work!
 
Mkuu kumbe hata wewe unapafahamu? Pale wanaitana Angel, lakini ukisha enda siku moja yule mwenyeji wako anakupa jina lake. wale wote wanafahamiana kwa majina yao. so ukienda unamuulizia jina lake wanakuelekeza na hapo hapo wataanza kukuita shemeji. Hilo jina la angel ni kwa wageni wale wapya. yaani jina la kazi kama ilivyo jina la wasanii kwenye filamu. Wanataka wapoteze jina la changudoa. Mia
 
itakuwa codename tu kama manesi wodini wanavyoitana mama k......mkuu mbona hatoi direction?mie mgomo tumeanza leo so i have ample time to spend
 
Mkuu kumbe hata wewe unapafahamu? Pale wanaitana Angel, lakini ukisha enda siku moja yule mwenyeji wako anakupa jina lake. wale wote wanafahamiana kwa majina yao. so ukienda unamuulizia jina lake wanakuelekeza na hapo hapo wataanza kukuita shemeji. Hilo jina la angel ni kwa wageni wale wapya. yaani jina la kazi kama ilivyo jina la wasanii kwenye filamu. Wanataka wapoteze jina la changudoa. Mia
 
Duuh,mtoto unakumbukumbu wewe,yaani siku ile nilipokutajia jina tuu umelikariri?nitakurudia tena umenifurahisha sana napenda watu wenye kumbukumbu kama wewe!!!Laki ni mbona huku unajiita MwaJ

Kwani we hujui kuwa huku ni huku na kule ni kule?
 
Back
Top Bottom