Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

LOL... LOL... Marytina umenifurahisha na am impressed pia... Express your self dear...
kweli dear why nijibanie wakati bado sijafungwa kwa ndoa?
Hata mimi nilibe impressed na office mate wangu
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa


Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)


Dada nenda kafanyiwe maombi!!!!!!!!!!!!!!!. Dada nakuhurumia kwani inaonyesha una pepo la ngono kwani hitaji lako linaonyesha dhahiri wewe si mwaminifu. Kiungo cha mzungu hakina tofauti sana na huyu mmasai wako tofauti ni rangi tu ila mzungu ataenda extra mile kukuharibia utu wako kwa kuhakikisha atatumia maeneo yote ya siri. Afadhali uachane huko kwani ukijaribu lazima utajuta.
 
Dogo utamaliza mabucha nyama ni ile hile,"chunga sana ulichonacho muovu asikunyang'anye" "mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu"
Unajiskia raha sana kuvua vua nguo eeeeh?uoni aibu?uonei kinyaa kila mti ukuchome jichoni?mwisho wa siku si utapofoka?na mwenzio akiwa na akili maji kama yako akasema akaonje pembeni mwisho wake ni nn?ukimwi robo + robo = nusu
Umeniudhi sina kawaida ya kutumia maneno mabaya au jazba.
SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA.
katika maisha yangu nimewavulia wawili tu hence the proposed mzungu atakuwa wa tatu (jamani hapo nisiitwe vuavua)
 
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:
appreciated
 
mie hawa watu weupe nimewagonga wote wadoc/wachina/waarabu na wazungu lengo langu ilikuwa ni kuwaonja tu test zao zikoje na kuweka jiwe la msingi,ila Mwafrika mwenzangu ndiye ninayempenda sana kuliko ngozi nyeupe.
 
Hebu fikirieni kuwa huyu ni mke wake mwanaume umemuweka ndani halafu yeye ana mawazo ya kipuuzi kama haya
 
wa 4-5-6-7-8-9-10 nao watakuja na utawavulia tu,si unajua mlamba asali uchonga mzinga?alafu haina mabega hiyo itapita tu.Tunahuhakika gani ni wawili tu?
katika maisha yangu nimewavulia wawili tu hence the proposed mzungu atakuwa wa tatu (jamani hapo nisiitwe vuavua)
 
Na nyie bado mnachangia hili lithread mbona mnaniudhi hakyanani ndo hawa kesho ataamka na kuleta tena up.....p...a humu!
 
Back
Top Bottom