Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

tafadhali tusitukanane

Tusi ni lipi hapo? kutoa menu sio tusi, ila ukiulizwa uko tayari kutoa buffee mtu ajisevie mwenyewe ndio yamekuwa matusi? utamuweza kweli mzungu kwa mwendo huo? maana atataka akutie vidole hadharani utaweza kuvumilia?
 
he!
Nadhani hakuna anaekereka na tamanio zako,
please endelea ukijua faida na hasara zako.
Mbona wengi tu wanatamani mambo ya ajabu kuliko hayo?

Uzuri wa kuwa mkweli katika mazingira uliomo ni jambo la kuzingatia, japo si la kufurahia sana.

Just out of curiousity, je wewe huwa unaishi kwa kufuata tamaa zako au niongozo fulani uliojiwekea?

Nina miongozo and i never break them unless otherwise kwa mzungu
and 4 two years now nimekuwa nikiihujumu nafsi yangu kwa kutompa hili
 
Na nyie bado mnachangia hili lithread mbona mnaniudhi hakyanani ndo hawa kesho ataamka na kuleta tena up.....p...a humu!

Mbona hata wewe hapa ndio umeshachangia hivyo! haijarishi umeandika nini lakini uko ndani ya thread hii hii.
 
Oooow! Nadhani ni muda muafaka wa mtoa roho kua na ofisi ndogo duniani maana tumezidi! Unaomba ruhusa ya ku-certify laana? Dada karibu kwenye maombezi...dawa ya ukimwi haijagundulika bado!

Duh hii tamu

tena hii ofisi iwe Arusha ili niyazime kabisa mawazo yangu
 
mie hawa watu weupe nimewagonga wote wadoc/wachina/waarabu na wazungu lengo langu ilikuwa ni kuwaonja tu test zao zikoje na kuweka jiwe la msingi,ila Mwafrika mwenzangu ndiye ninayempenda sana kuliko ngozi nyeupe.
haya tena kumekucha!! Mhhhh....
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)

Inavyooneka GENES kutoka kwa baba ni more dorminant kwako ndio maana unapenda kutest ladha mbalimbali. Tafadhali kuwa mwangalifu mwanangu
 
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:

Ha ha haaaaaaaa mkuu anapita anamwambia mdhungu SEE MY MILK IS STANDING!
 
Yani ndo tuachane nae ivo maana simuelewi au wewe mwenzangu umemuelewa

Unajuwa sisi wengine tunaspend muda mwingi kwenye jukwaa la siasa, sasa kwenye jukwaa hili tunakuja kupumzisha akili badala ya kwenda Facebook kwahiyo mimi naona poa tu. sometime don't take life too serious.
 
Haaaaahaha! Ahsante, sijaonekana siku nyingi jukwaani.

Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
 
Ngoja ntulie mwaya unajua leo nimeletewa zawadi na mama mkwe basi akili yote imehama duh!

Back
Top Bottom