Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Dec 9, 2010 #1 Wakuu natafuta hii simu kwa hapa Bongo. Naomba kujua bei ni kiasi gani na ninaweza pata duka gani kwa hapa Mjini. Natanguliza Shukrani. Attachments Samsung-Chat-C3222.jpg 31.5 KB · Views: 73
Wakuu natafuta hii simu kwa hapa Bongo. Naomba kujua bei ni kiasi gani na ninaweza pata duka gani kwa hapa Mjini. Natanguliza Shukrani.
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Dec 10, 2010 #2 Zipo ktk Kaduka flani kapo ubavuni mwa chef pride Kisutu. Zinauzwa 350,000