...mimi sijawahi kuanzisha thread kwa ajili ya salima...or whatever is called..ila nakumbuka huko nyuma kwenye mchango wangu nimepata kuongelea ...watu kukalishwa foleni bila sababu kwa ajili ya kupisha msafara wa salma...nilieleza kuwa hii siyo vema kwa kuwa ..haina sababu zaidi ya kuleta usumbufu...kuna haja gani ya msafara wa mke wa rais kuwa na magari matano na piki piki ...haina haja zaidi ya kumuharibia mumewe...kwani hana nafasi kwenye katiba....hilo sioni aibu kulisema popote.....LAKINI KWA KUWA MIMI NILISHAPATA KUTOA MAONI HAYA HAPO NYUMA ..HAIMZUWII MTU KUANZISHA THREAD......tena anaweza kuwa ameanzisha pasi kujua hili limepoata kuongelewa kwenye michango ya kwaida.....afteral mimi niliongelea usumbufu wa misafara yake..wala sikuwa specific kuwa anaenda saloon..kwani lazima atakuwa na safari nyingi tu...hatuzijui..anaweza kwenda kimya kimya....
umeongelea first ladies waliopita......????...sijapata kuona msafara wa MAMA MARIA...MAMA SITTI..AU BI MKUBWA WAKE...MAMA MKAPA ets.....Wote hawa walikuwa first ladies na walikuwa wakipita pasi msafara...zaidi ya kuwa na mlinzi garini ..mwenye radio call...kumsaidia pale anapokwama hata kwenye foleni anauwezo wa kuwasiliana na traffic control...na line aliyopo magari yakaruhusiwa....bila watu kulazimika kusimama pembeni...
viongozi stahili kutuweka pembeni wanapopita ni....RAIS ,MAKAMU WA RAIS,WAZIRI MKUU ,RAIS WA ZANZIBAR,WAZIRI KIONGOZI[naibu waziri mkuu au naibu waziri kiongozi..ikibidi],marais wastaafu wa MUUNGANO-motorcade ya kudumu,[rais mstaafu wa zanzibar ..anapewa motorcade mara anapostaafu na huendelea kupunguzwa hadi kuondolewa kabisa..the same to prime ministers]....hao kina salmin,jumbe,msuya,salim,warioba,lowassa,sumaye,kawawa..tunapishana nao tu....na tunasubiria taa kama wengine......
wakuu wa vyombo vya usalama kama mkuu wa majeshi na mnadhimu mkuu.,mkuu wa polisi,TISS,prison ...wanatemebea na msafara wa gari mbili au tatu ...[msafara bubu.....yaani magari yao huruhusiwa pale yanapokumbwa na foleni...automatically hawakai foleni..lakini mwananchi wa kawaida hataweza kugundua...unless otherwise!!!!!
.....sasa sijui unasemaje hapo kuhalalisha muda wa wananchi kupotea barabarani....hii haihusiani na chuki ..as i said ..i have no reason to care about...bali ni kuhusu uhalali wa misafara isiyokuwa na sababu....zaidi ya ufahari....
Umezunguka sana, kwa ufupi umekubali ni kweli umesema hii habari before na kukumbusha specifically umesema anaenda saloon lakini leo kwa ujasiri mkubwa hilo la saloon unalikataa eeh. Fine cha msingi umekubali ulisema hili suala sio kuanzisha thread as long as umekubali ulisema kwangu is more than enough. Labda kukumbusha pia ulisema huyu mama soon ataenda labor bora atulie sehemu sasa vp mbona miezi inakatika hakuna dalili mkuuau na hili pia utakataa hukusema?
Hizo blah blah za stahiki ya nani awe na escort nani asiwe is debatable na mimi wala sisemi anastahiki au hapana point yangu ilikuwa na itaendelea kuwa ulisema kuwa huyu mama anasababisha foleni kwa misafara yake ya saloon period! na ukashauri kwa kuwa soon ataenda labor ni kheri apumzike.
Habari za Mama Maria, Bi Sitti ni pumba ambazo I will let it crumble under the weight of its own irrelevant!